Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,574
- 522
Nategemea sana Farkhina utakuwa unatokea sehemu za pwani, ikiwa unaelekea kusini ya nchi yetu kwenye nchi ya jirani kuna mji unaitwa Pemba, hapo unapanda jahazi kuelekea mashariki utafika kwenye visiwa maarufu huko ndiko nilikoikuta tapo
sasa nimeisha kupa fununu jaribu kuuliza tena tapo ndio nini?
sasa nimeisha kupa fununu jaribu kuuliza tena tapo ndio nini?
Shurba na mie tena mbona naijua ila hiyo tapo ndio niko hoi na hilo neno tu sijawah lisikia
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums