Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,860
- 18,819
“Afghanistan kuruhusu watoto wa miaka 9 kuolewa ni jambo linalozua maswali makubwa katika dunia ya leo. Wengi wanaona kuwa katika karne ya 21 mtoto wa umri huo bado ni mdogo sana na anapaswa kuwa shule, si kuingia kwenye ndoa.
Soma Pia: Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9
I mean mtoto wa miaka 9 yuko darasa la tatu labda, this is sick …
Soma Pia: Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9
I mean mtoto wa miaka 9 yuko darasa la tatu labda, this is sick …