Afghanistan kuruhusu watoto wa miaka 9 kuolewa ni jambo linalozua maswali makubwa katika dunia ya leo

ni vizuri zaidi kuionya Marekani inayo ua wananchi na watoto wasio na hatia ndani ya ardhi ya Irani, na Mungu atakubariki sana gentleman 🐒

Marekani anapambana against evil mullahs of iran kuiokoa dunia dhidi ya mambo kama ya islamist paedophile taliban afghanstan na low iq barbaria somalis wanayofanya against children.

watoto wa iran watakuja kuishukuru USA siku moja …
 
KWahyo miaka imeanza hesabiwa Yesu alivokufa tu?

alivyozaliwa ndiyo maana ya hii kalenda yetu, tarehe ya leo kwa mfano ni umri wa Yesu Kristo, hata muslims wana kalenda yao na ni siku Muhamad aliyozaliwa i.e siku ya leo kwa islamic kalenda ni umri wa Muhamad, umeona sasa muslims wanakopi karibia kila kitu ktk Christianity, halafu wanajifanya wajanja …
 
Nmekuuliza swali kabla ya uwepo wa Yesu kulikua hakuna tarehe? Jibu ndio au hapana
 
Gentleman,
kama Marekani anajiamulia kuua watu Irani atakavyo, hafughanistani inashindwaje kupuuza mitazamo nonsense kama yako na kufanya kadiri inavyoona inafaa ?🐒
Kwahiyo hata wakiamua kuoa watoto wa miaka miwili kwa kuamua wenyewe kama nchi wanapaswa waachwe tu?
 
Kama Marekani inaua mama na mtoto alie jifungua leo, makosa ya hafughanistani yako upande gani kwa mfano gentleman na mmekaa kimya na wengine mkishangilia?

si muache unafiki nonsense kama huu ndugu zangu?🐒
 
Nimekuuliza swali linalohitaji tu jibu la Ndio au Hapana ila umeleta maelezo meeengi nje ya swali

Anyway, siungi mkono Marekani kuua watoto na watu wasio na hatia tena kibabe na haikubaliki kabisa lakini kuua kwao haijustify watoto wa miaka 9 kuolewa rasmi na nchi ipitishe sheria hiyo sheikh

Ulimsikiliza Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Juma Zubeir Homera jana?
 
Nimekuuliza swali linalohitaji tu jibu la Ndio au Hapana ila umeleta maelezo meeengi nje ya swali

Anyway, siungi mkono Marekani kuua watoto na watu wasio na hatia tena kibabe na haikubaliki kabisa lakini kuua kwao haijustify watoto wa miaka 9 kuolewa rasmi na nchi ipitishe sheria hiyo sheikh
Kwamba nijibu ndiyo,
ni sawa kwamba Marekani iko sawa kuangamiza mamia ya wananchi na watoto wasio na hatia ndani ya ardhi ya Irani, ila sio sawa kwa hafughanistani kua huru kuamua mambo yake kulingana na mila, desturi na tamaduni zao za malezi na makuzi ya watoto wao? right?

kama hauungi mkono Marekani kuua watu wengi kiasi kile, mbona hata mara moja hukemei kwanza hilo ila unajitia kimbelembele na unafiki mwingi kukosa agenda ya hafughanistani ambae wala hata sio ya kuungamiza watoto?🐒
 
umeipataje hiyo namba ya miaka 12 au 90? kalenda tulionayo imeanza kutumika baada ya Yesu Kristo kuzaliwa, sasa wewe miaka ya baba yake umeipataje? …
Achana na uyo bwabwa zaidi zaidi atakuvuta ukale
 
Nmekuuliza swali kabla ya uwepo wa Yesu kulikua hakuna tarehe? Jibu ndio au hapana

nimekwisha kujibu, kulikuwa hakuna tarehe kama vile tuijuavyo leo hii, hivyo matukio yote yaliyotokea kabla ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo ni ngumu kusema umri wake kwa kigezo cha umri tunachotumia leo hii, hata muslims pia kabla ya kuzaliwa kwa Muhamad karne ya 7 baada Kristo hawakuwa na tarehe kama muijuavyo leo hii, kabla ya Muhamada hakukuwa na kalenda ya islam, ...
 
alivyozaliwa ndiyo maana ya hii kalenda yetu, tarehe ya leo kwa mfano ni umri wa Yesu Kristo, hata muslims wana kalenda yao na ni siku Muhamad aliyozaliwa i.e siku ya leo kwa islamic kalenda ni umri wa Muhamad, umeona sasa muslims wanakopi karibia kila kitu ktk Christianity, halafu wanajifanya wajanja …
Una confidence nyingi kuliko accuracy, hiyo unayoiita “umri wa Yesu” siyo even historically precise. Mfumo wa Anno Domini uliwekwa centuries later na hesabu zake zina matatizo; wanahistoria wengi wanaamini Jesus Christ alizaliwa kabla ya mwaka 1 AD. So already unaongea kana kwamba calendar ni mathematical proof ya theology, which is intellectually shallow.

Halafu kuhusu Islamic calendar, hii ndiyo sehemu unaonyesha hujui basic history. Islam calendar haijaanza siku Muhammad aliyozaliwa. Islamic calendar inaanza kwenye Hijra — yaani hijra(migration) kutoka Makka kwenda Madina mwaka 622 CE. Si birthday yake. Hilo ni elementary knowledge; ungeweza hata ku-google dakika mbili kabla ya kujenga argument ya kejeli.

Na hiyo narrative ya “Muslims copied Christianity” pia ni simplistic reasoning. Judaism, Christianity, na Islam zote ni Abrahamic religions, so naturally kuna overlapping prophets, narratives, na concepts. Similarity doesn’t automatically equal plagiarism. Kwa logic yako basi Christianity “ilikopi” kutoka Judaism kwa sababu ina Moses, Abraham na Old Testament.

Intellectual honesty inahitaji utofautishe shared religious heritage, historical influence na outright copying.

Otherwise unabaki na polemics za Facebook comments section ukidhani ni scholarship.
 
taifa huru linaweza kuamua mambo yake kulingana na uhuru wake,

nadhani kuna mambo ya msingi wameyazingatia kulingana na mila, desturi na tamaduni zao za malezi na makuzi, sidhani kama wamekurupuka tu kama alivyo kurupuka Marco Rubio dhidi ya Mwafwele,

uhuru na haki ya taifa lao uheshimiwe 🐒
Tlaatlaah
From Lumumba street
 
nimekwisha kujibu, kulikuwa hakuna tarehe kama vile tuijuavyo leo hii, hivyo matukio yote yaliyotokea kabla ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo ni ngumu kusema umri wake kwa kigezo cha umri tunachotumia leo hii, hata muslims pia kabla ya kuzaliwa kwa Muhamad karne ya 7 baada Kristo hawakuwa na tarehe kama muijuavyo leo hii, kabla ya Muhamada hakukuwa na kalenda ya islam, ...
Unachofanya hapa ni kuchanganya existence of calendars na adoption of a specific calendar system, then unadhani umefanya deep historical point. That’s not how chronology works.

Kabla ya Yesu kuzaliwa, civilizations tayari zilikuwa na calendar systems sophisticated kabisa, mifano:
Roman calendar, Egyptian calendars, Babylonian calendars, Hebrew calendar na Chinese calendars zote zina predate Gregory/Julian calendar

So when someone says:
“Before Christianity there was no calendar”
that is not just wrong, it is historically embarrassing.
Before AD/BC dating system, kulikuwa tayari na multiple civilizations zenye chronology, astronomy na calendar computation sophisticated kabisa.

Actually even Gregorian calendar yenyewe imebebwa na Roman structure, Egyptian astronomy, Babylonian mathematical influence indirectly na later Christian standardization.

Civilization is cumulative. Hakuna mfumo uliotokea vacuum.

Kwa hiyo kusema “hakukuwa na tarehe” ni historically illiterate.

Kulikuwa na tarehe, what did not exist yet ni mfumo wa kuhesabu miaka kwa reference ya kuzaliwa kwa Yesu (AD/BC system). Huge difference.

Na kuhusu Islam, tena unarudia kosa lile lile. Kabla ya Muhammad Waarabu walikuwa tayari wanatumia lunar calendar na walikuwa wanajua miezi kama Ramadhan, Muharram, Rajab etc. Kilichokuja baadaye ni Islamic epoch ya Hijra kuwa starting point ya kuhesabu miaka. Siyo kwamba “hakukuwa na kalenda.”

You’re arguing as if:
“Before Gregorian calendar, humanity lived in timeless darkness.”

Which is absurd.

Na irony kubwa ni kwamba unajaribu kuonekana rational huku argument yako inategemea historical oversimplification ambazo ungeweza kurekebisha kwa kusoma introductory history textbook tu. Confidence without precision si intelligence ni misinformation yenye attitude
 
Unauhakika au unaropoka?
 
Una confidence nyingi kuliko accuracy, hiyo unayoiita “umri wa Yesu” siyo even historically precise. Mfumo wa Anno Domini uliwekwa centuries later na hesabu zake zina matatizo; wanahistoria wengi wanaamini Jesus Christ alizaliwa kabla ya mwaka 1 AD. So already unaongea kana kwamba calendar ni mathematical proof ya theology, which is intellectually shallow.

Halafu kuhusu Islamic calendar, hii ndiyo sehemu unaonyesha hujui basic history. Islam calendar haijaanza siku Muhammad aliyozaliwa. Islamic calendar inaanza kwenye Hijra — yaani hijra(migration) kutoka Makka kwenda Madina mwaka 622 CE. Si birthday yake. Hilo ni elementary knowledge; ungeweza hata ku-google dakika mbili kabla ya kujenga argument ya kejeli.

Na hiyo narrative ya “Muslims copied Christianity” pia ni simplistic reasoning. Judaism, Christianity, na Islam zote ni Abrahamic religions, so naturally kuna overlapping prophets, narratives, na concepts. Similarity doesn’t automatically equal plagiarism. Kwa logic yako basi Christianity “ilikopi” kutoka Judaism kwa sababu ina Moses, Abraham na Old Testament.

Intellectual honesty inahitaji utofautishe shared religious heritage, historical influence na outright copying.

Otherwise unabaki na polemics za Facebook comments section ukidhani ni scholarship.

lkn unazunguka pale pale tu sijasema kwamba ni umri wa Yesu Kristo exact kwamba leo hii ana umri wa tarehe ya leo lkn ni approximation, lkn Kalenda yetu ni umri wa Yesu Kristo na hilo halina ubishi kama unabisha labda unataka tu ubishi na ndiyo maana wanatumia b.c au baada ya Kristo kuzaliwa na islamic kalenda pia the same sasa sijui ni kipi kigumu kuelewa hapo? bila ya Muhamad hakuna muslim kalenda, sasa sijuii ni kipi hapo kuelewa au ulitaka tu na wewe kuonekana kwamba upo? ...
 
Unachofanya hapa ni kuchanganya existence of calendars na adoption of a specific calendar system, then unadhani umefanya deep historical point. That’s not how chronology works.

Kabla ya Yesu kuzaliwa, civilizations tayari zilikuwa na calendar systems sophisticated kabisa, mifano:
Roman calendar, Egyptian calendars, Babylonian calendars, Hebrew calendar na Chinese calendars zote zina predate Gregory/Julian calendar

So when someone says:
“Before Christianity there was no calendar”
that is not just wrong, it is historically embarrassing.
Before AD/BC dating system, kulikuwa tayari na multiple civilizations zenye chronology, astronomy na calendar computation sophisticated kabisa.

Actually even Gregorian calendar yenyewe imebebwa na Roman structure, Egyptian astronomy, Babylonian mathematical influence indirectly na later Christian standardization.

Civilization is cumulative. Hakuna mfumo uliotokea vacuum.

Kwa hiyo kusema “hakukuwa na tarehe” ni historically illiterate.

Kulikuwa na tarehe, what did not exist yet ni mfumo wa kuhesabu miaka kwa reference ya kuzaliwa kwa Yesu (AD/BC system). Huge difference.

Na kuhusu Islam, tena unarudia kosa lile lile. Kabla ya Muhammad Waarabu walikuwa tayari wanatumia lunar calendar na walikuwa wanajua miezi kama Ramadhan, Muharram, Rajab etc. Kilichokuja baadaye ni Islamic epoch ya Hijra kuwa starting point ya kuhesabu miaka. Siyo kwamba “hakukuwa na kalenda.”

You’re arguing as if:
“Before Gregorian calendar, humanity lived in timeless darkness.”

Which is absurd.

Na irony kubwa ni kwamba unajaribu kuonekana rational huku argument yako inategemea historical oversimplification ambazo ungeweza kurekebisha kwa kusoma introductory history textbook tu. Confidence without precision si intelligence ni misinformation yenye attitude

unaandika mambo mengi ambayo sijayasema, nimesema kabla ya Kristo walikuwa na namna nyingine hivyo ni ngumu kusema mtu aliyezaliwa kabla ya Kristo alikuwa na umri gani exactly i.e leo hii unaweza kusema mtu alyezaliwa baada ya Kristo kwa mf. tarehe xx/xx//xxxx ana umri fulani exactly kwa kutumia Christian kalenda au hata islamic kalenda, lkn kabla ya Kristo ni ngumu hivyo kusema baba yake Yesu Kristo alikuwa na miaka 90 na mama yake 12 amejuaje au ameijzipataje hizo namba na ndicho nilichomuliza kwa maana hakuna anayejua exactly umri wa kabla ya Kristo kwa logic ya leo ...
 
lkn unazunguka pale pale tu sijasema kwamba ni umri wa Yesu Kristo exact kwamba leo hii ana umri wa tarehe ya leo lkn ni approximation, lkn Kalenda yetu ni umri wa Yesu Kristo na hilo halina ubishi kama unabisha labda unataka tu ubishi na ndiyo maana wanatumia b.c au baada ya Kristo kuzaliwa na islamic kalenda pia the same sasa sijui ni kipi kigumu kuelewa hapo? bila ya Muhamad hakuna muslim kalenda, sasa sijuii ni kipi hapo kuelewa au ulitaka tu na wewe kuonekana kwamba upo? ...
Tatizo si “kuonekana nipo”; tatizo ni kwamba unatumia approximation halafu una-present kana kwamba ni airtight historical argument.
Your hatred for Muslims and anything Islamic is clouding your reasoning and judgement. Nobody denied kwamba AD system imebase numbering ya miaka around the estimated birth of Jesus Christ. Hilo ni obvious kabisa. Unachokosea ni kudhani hiyo somehow proves
1. calendars zilianza na Christianity,
2. au kwamba Islam “ilikopi” concept ya calendar kutoka Christianity.

That’s where your logic collapses.
Kusema:“Without Muhammad hakuna Islamic calendar” ni technically true only in the sense kwamba Hijra ndiyo epoch ya Islamic dating system. Lakini hiyo haimaanishi Waarabu hawakuwa na chronology, lunar months, au calendar structure kabla yake.

Same way:
without Julius Caesar hakuna Julian calendar,
without Pope Gregory XIII hakuna Gregorian calendar.

Lakini nobody intelligent concludes:
“Humanity had no calendars before Caesar.”

Unaendelea kuchanganya:
origin of an epoch/reference point,
VS
origin of calendars themselves.

Na ndiyo maana unaonekana unarudia point ile ile bila kuelewa distinction ya msingi kabisa ya historical chronology.

Also, irony nyingine ni hii:
Ukisema Islamic calendar exists because of Muhammad sawa.
Lakini hiyo haithibitishi “Islam copied Christianity,” because civilizations nyingi zime-name au zime-anchor eras kwenye major religious/political events Romans, Chinese dynasties, Buddhist eras, Hindu eras, Jewish chronology, etc.

So what you think is some devastating anti-Islam insight is actually just a normal feature of human civilization. The confidence is high; the analytical depth is not.
 
Tatizo si “kuonekana nipo”; tatizo ni kwamba unatumia approximation halafu una-present kana kwamba ni airtight historical argument.
Your hatred for Muslims and anything Islamic is clouding your reasoning and judgement. Nobody denied kwamba AD system imebase numbering ya miaka around the estimated birth of Jesus Christ. Hilo ni obvious kabisa. Unachokosea ni kudhani hiyo somehow proves
1. calendars zilianza na Christianity,
2. au kwamba Islam “ilikopi” concept ya calendar kutoka Christianity.

That’s where your logic collapses.
Kusema:“Without Muhammad hakuna Islamic calendar” ni technically true only in the sense kwamba Hijra ndiyo epoch ya Islamic dating system. Lakini hiyo haimaanishi Waarabu hawakuwa na chronology, lunar months, au calendar structure kabla yake. Same way:

without Julius Caesar hakuna Julian calendar,
without Pope Gregory XIII hakuna Gregorian calendar.

Lakini nobody intelligent concludes:
“Humanity had no calendars before Caesar.”

Unaendelea kuchanganya:
origin of an epoch/reference point,
VS
origin of calendars themselves.

Na ndiyo maana unaonekana unarudia point ile ile bila kuelewa distinction ya msingi kabisa ya historical chronology.

Also, irony nyingine ni hii:
Ukisema Islamic calendar exists because of Muhammad sawa.
Lakini hiyo haithibitishi “Islam copied Christianity,” because civilizations nyingi zime-name au zime-anchor eras kwenye major religious/political events Romans, Chinese dynasties, Buddhist eras, Hindu eras, Jewish chronology,
etc.

So what you think is some devastating anti-Islam insight is actually just a normal feature of human civilization. The confidence is high; the analytical depth is not.

kwa nini inaitwa Christian kalenda? au hata Islamic kalenda labda? ...
 
Back
Top Bottom