Afghanistan kuruhusu watoto wa miaka 9 kuolewa ni jambo linalozua maswali makubwa katika dunia ya leo

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,860
Reaction score
18,819
Badala wafocus kwenye kutatua baa la njaa nchini mwao, wanakomalia kupitisha sheria kandamizi kwa watoto wadogo wa kike.
 
Naonaga humu wadau wakisem kila Taifa/Nchi ina mamlaka yake na maamuzi yake, wenyewe mnaita Nini sijui kwa kizungu
 
taifa huru linaweza kuamua mambo yake kulingana na uhuru wake,

nadhani kuna mambo ya msingi wameyazingatia kulingana na mila, desturi na tamaduni zao za malezi na makuzi, sidhani kama wamekurupuka tu kama alivyo kurupuka Marco Rubio dhidi ya Mwafwele,

uhuru na haki ya taifa lao uheshimiwe 🐒
 
Joseph 90 alitaka kuoa bikra maria miaka 12

Nikizingatia muktadha hao wahun wa taleban wamekosea
Mkuu wao ndio wanajua jamii Yao ikoje, sinamsemaga Taifa Huru lenye mamlaka ya kufanya mambo Yao ? Sasa wanaamua mnawasanua?

Hao watu .....
 
ndiyo maana kwa china islam ni mental illness au ugonjwa wa akili, china muslims wanatibiwa “islam” .

hakuna kinachohalisha mtoto wa miaka 9 kuolewa, unless ni mgonjwa wa akili, paedophilia ni ugonjwa wa akili …
 
Gentleman,
unaweza kueleza hivyo kwa msukumo wa matumizi ya vitu vya kuchangamsha ubongo,

but,
ukweli utabakia kwa wahafughanistani wenyewe kuamua mambo yao kwa uhuru wao kulingana na wanavyoona inafaa.🐒
 
Joseph 90 alitaka kuoa bikra maria miaka 12

Nikizingatia muktadha hao wahun wa taleban wamekosea

umeipataje hiyo namba ya miaka 12 au 90? kalenda tulionayo imeanza kutumika baada ya Yesu Kristo kuzaliwa, sasa wewe miaka ya baba yake umeipataje? …
 
Gentleman,
unaweza kueleza hivyo kwa msukumo wa matumizi ya vitu vya kuchangamsha ubongo,

but,
ukweli utabakia kwa wahafughanistani wenyewe kuamua mambo yao kwa uhuru wao kulingana na wanavyoona inafaa.🐒

hata mimi nina uhuru pia wa kusema na kuwaonya Christians about dangers of islam …
 
Nyege zikishapanda kichwani ni mbaya sana. Watu wazima wanapitisha kuhalalisha kumwingilia kimwili mtoto wa miaka 9 sababu ya minyege hakuna jingine lolote.
 
Uhuru na nyege za kipumbavu.

Hakuna heshima yoyote kwa wanaume wanaofanya maamuzi wakitanguliza minyege kama Mbwa aliyenusa harufu ya jike mwenye joto, hatulizi kichwa, ni maamuzi ya mbio mbio tu sababu ya nyege.
 
Hakuna uhuru wa kujiamulia kwenye masuala ya watoto we mjinga mmoja wa CCM.
 
Hakuna uhuru wa kujiamulia kwenye masuala ya watoto we mjinga mmoja wa CCM.
Gentleman,
kama Marekani anajiamulia kuua watu Irani atakavyo, hafughanistani inashindwaje kupuuza mitazamo nonsense kama yako na kufanya kadiri inavyoona inafaa ?🐒
 
hata mimi nina uhuru pia wa kusema na kuwaonya Christians about dangers of islam …
ni vizuri zaidi kuionya Marekani inayo ua wananchi na watoto wasio na hatia ndani ya ardhi ya Irani, na Mungu atakubariki sana gentleman 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…