Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,119
- 1,728
Wanaishi Mwaka 600 Mkuu...!Jamaa wanaishi mwaka 1200 ..haya maimani mengine ni tabu sana.
Wanauza ngada kununua silaha huku wanashikilia sharia law, hawa jamaa sijui wana shida ganiNi nchi yenye kuzalisha bangi na cocaine kwa wingi.Kwa hiyo vituko wanavyovifanya ni viashiria vya ubora wa mazao yao.Bloody ndevus!
Una point.Marekan alifanya makosa sana kuondoa jeshi huko
Wazauza sura lazima wanuneUchoko tu
Safi sana Hadi WAKOME NA UAHIRA WAOKupitia vyombo vya habari Kundi la Taliban linaloongoza Serikali ya Afghanistan limepiga marufuku Binadamu na Wanyama kuonekana kwenye Televisheni katika maudhui ya aina yoyote kuanzia Matangazo ya Taarifa ya Habari na burudani nyinginezo na badala yake vioneshwe vitu kama majengo, magari na miti, na vitu vinginevyo, Sauti tu ya mtangazaji ndio isikike ikitangaza ila binadamu anayetangaza hasionekane wala mnyama wa aina yoyote kuonekana kwenye luninga.
Taliban wamesema sheria hiyo inatokana na maandiko ya kiislamu yanayojulikana kama "Sharia Law". Taliban waliongeza kuwa picha za wanyama na sura za watu kwenye Televisheni utumika kwenye Siasa za Ulaya na Marekani. Hivyo ni marufuku Televisheni kuonesha sura na umbo la binadamu na mnyama kwenye Televisheni.
Maafisa wa serikali hawatakiwi kuonekana kwenye Televisheni wakati wa kutoa hotuba au maelezo, sauti zao tu ndio zisikike.
Baadhi ya Waafaghan wamepinga hatua hiyo na kusema unaminya uhuru wa kutoa habari ususani za mahojiano.
View attachment 3160807
Mmh kuwa muislam hapa duniani nalo tatizo aiseeKupitia vyombo vya habari Kundi la Taliban linaloongoza Serikali ya Afghanistan limepiga marufuku Binadamu na Wanyama kuonekana kwenye Televisheni katika maudhui ya aina yoyote kuanzia Matangazo ya Taarifa ya Habari na burudani nyinginezo na badala yake vioneshwe vitu kama majengo, magari na miti, na vitu vinginevyo, Sauti tu ya mtangazaji ndio isikike ikitangaza ila binadamu anayetangaza hasionekane wala mnyama wa aina yoyote kuonekana kwenye luninga.
Taliban wamesema sheria hiyo inatokana na maandiko ya kiislamu yanayojulikana kama "Sharia Law". Taliban waliongeza kuwa picha za wanyama na sura za watu kwenye Televisheni utumika kwenye Siasa za Ulaya na Marekani. Hivyo ni marufuku Televisheni kuonesha sura na umbo la binadamu na mnyama kwenye Televisheni.
Maafisa wa serikali hawatakiwi kuonekana kwenye Televisheni wakati wa kutoa hotuba au maelezo, sauti zao tu ndio zisikike.
Baadhi ya Waafaghan wamepinga hatua hiyo na kusema unaminya uhuru wa kutoa habari ususani za mahojiano.
View attachment 3160807
Labda kwa msaada wa nchi za nje ndio taleban watatolewa... raia wa afghanstan waoga sana.. jeshi lao lilipewa mafunzo na silaha za kutosha na marekani.. ila walizitupa chini na kukimbia baada ya mapambano kuwa makaliVitu wanavyofanya Taleban wanaweza wasikae madarakani kwa muda mrefu sana wanatengeza upinzani mkubwa huko mbeleni kutoka makundi mbalimbali.