The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Nadhani imekaa kidini zaidi kuliko uhalisia..Ndevu zinaongeza competence kazini? Ama ndevu ndiyo competency yenyewe?!
Ndevu zinaongeza competence kazini? Ama ndevu ndiyo competency yenyewe?!
Hawa makobazi mtihani mtupu.Nchini Afghanistan, viongozi wa Taliban wamepiga marufuku wafanyakazi wa serikali ambao hawana ndevu kufika ofisini.
Taliban wanasema mfanyakazi yoyote wa serikali lazima awe na ndevu za kueleweka, hakuna kunyoa ndevu na wafanyakazi wote ambao hawana ndevu wamepewa muda kabla hawajafukuzwa kazi moja kwa moja.
Ni uchaguzi wako, ufuge ndevu ama ufukuzwe kazi😂
Ndevu ni tofauti na suruali. Ndevu ni natural phenomenon. Hazioti kwa mapenzi au utashi wa mtu.Kwani sie suruali ya Jeans ukivaa kazini zinapunguza competence hadi zikazuiwa?
Bungeni ukivaa Kanzu bila ya kofia unatolewa nje…tunasubiri BBC wa post ndio nasi tushangae?
Ndevu zinaongeza competence kazini? Ama ndevu ndiyo competency yenyewe?!La
Labda wamegundua Kuna uhusiano wa kufuga ndevu na kazi.Ndevu zinaongeza competence kazini? Ama ndevu ndiyo competency yenyewe?!