Usahihi au kutokuwa sahihi kuna tegemea tamaduni na desturi za eneo husika
Hata Siasa za Znz miaka kadhaa nyuma ilikuwa huwezi kupewa madaraka ya kisiasa kama wewe ni mfuga ndevu kwa kuwa Wahafidhina walinzi wa Mapinduzi matukufu walikuwa wana link ndevu na wapinga mapinduzi

Ndevu ni tofauti na suruali. Ndevu ni natural phenomenon. Hazioti kwa mapenzi au utashi wa mtu.
Kuweka kigezo cha lazima (mandate) katika taasisi zinazohudumia wananchi wote kwa kutumia kitu ambacho kiko nje ya uwezo ama utashi wa kibinadamu kama ndevu ni sahihi?