jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Hapo huna kazi au vaa wigi kwenye kidevu.Na sie wenye vindevu viwili sijui watatufikiriaje kwenye hili...
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo huna kazi au vaa wigi kwenye kidevu.Na sie wenye vindevu viwili sijui watatufikiriaje kwenye hili...
Jipe moyo mtalebani wa buza...ila chini ya Westerners kila goti litapigwa.Ina maana hujui kibano walichokipata hadi chaguzi zao hoja kuu ikawa kurudisha Majeshi nyumbani, hujui kuwa kwa miaka 20 yote gharama ya kuweko kule ilikuwa juu sana kutokana n mpambano
Halafu unajichanganya mara hao ni vibaraka wa Marekani mara wanalia lia wapewe fund za kuendesha Serikali, iweje sasa kibaraka anyimwe fedha za kuendesha Serikali? Iweje kibaraka asitambuliwe na hayo Mataifa
Afghan kule Kaa la Moto…USSR alitoka Mbio kama ilivyokuwa kwa NATO
M NATO wa Nzega unasema wameondola baada ya kukamilisha Malengo wakati malengo ilikuwa kuwasambaratisha Taleban ambao ndio leo wanaongoza hilo Taifa
Malengo ni kutokomeza 'Ugaidi' ambao leo wanasema hadharan kuwa kuondoka ni kuruhusu magenge ya magaidi kukusanyika tena
Najua unaumia sana lakin sio ajabu jamaa kukimbia Kichapo…walifanya hivyo Vietnam pia
Mambo yao waachie wenyewe...
Nchini Afghanistan, viongozi wa Taliban wamepiga marufuku wafanyakazi wa serikali ambao hawana ndevu kufika ofisini.
Taliban wanasema mfanyakazi yoyote wa serikali lazima awe na ndevu za kueleweka, hakuna kunyoa ndevu na wafanyakazi wote ambao hawana ndevu wamepewa muda kabla hawajafukuzwa kazi moja kwa moja.
Ni uchaguzi wako, ufuge ndevu ama ufukuzwe kazi😂

Afghanistan,Korea Kaskazini,China na Burma hizo sio Nchi za kuishi , zingine ni Irani na SaudiaAsante taliban aah kudadek kuna nchi ni ngumu mpaka unawaza hupat jibu [emoji2962]