Ndevu ni tofauti na suruali. Ndevu ni natural phenomenon. Hazioti kwa mapenzi au utashi wa mtu.
Kuweka kigezo cha lazima (mandate) katika taasisi zinazohudumia wananchi wote kwa kutumia kitu ambacho kiko nje ya uwezo ama utashi wa kibinadamu kama ndevu ni sahihi?
Afghanistan ndio the most uncivilized country in the world, huwa naamini wanapofikiri huwa hawatumii ubongo.Nchini Afghanistan, viongozi wa Taliban wamepiga marufuku wafanyakazi wa serikali ambao hawana ndevu kufika ofisini.
Taliban wanasema mfanyakazi yoyote wa serikali lazima awe na ndevu za kueleweka, hakuna kunyoa ndevu na wafanyakazi wote ambao hawana ndevu wamepewa muda kabla hawajafukuzwa kazi moja kwa moja.
Ni uchaguzi wako, ufuge ndevu ama ufukuzwe kazi😂
Wanavuta ya kwao. Ya kwao ndio namba moko duniani.Aseee hawa taliban sijui wanavuta ya wapi.......au ndo mambo ya opium poppy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa jamaa ndio maana watu walikimbia nchi siku wanachukua uongozi.. kesho utasikia hamna kupika sambusa zina pembe kama shetani.
Wanunue tu mawigi ya ndevuNdevu ni tofauti na suruali. Ndevu ni natural phenomenon. Hazioti kwa mapenzi au utashi wa mtu.
Kuweka kigezo cha lazima (mandate) katika taasisi zinazohudumia wananchi wote kwa kutumia kitu ambacho kiko nje ya uwezo ama utashi wa kibinadamu kama ndevu ni sahihi?
Zipo tamaduni ambazo ni sahihi, at least jamii karibu zote duniani tunaweza kukubaliana hivyo. Pia, zipo tamaduni potofu ambazo baadhi ya hizo, dunia ilikwisha achana nazo zamani, tumeishia kuzisoma kwenye vitabu.Usahihi au kutokuwa sahihi kuna tegemea tamaduni na desturi za eneo husika
Hata Siasa za Znz miaka kadhaa nyuma ilikuwa huwezi kupewa madaraka ya kisiasa kama wewe ni mfuga ndevu kwa kuwa Wahafidhina walinzi wa Mapinduzi matukufu walikuwa wana link ndevu na wapinga mapinduzi
Tuanzie kwanza kwny utamaduni wa ushoga!Zipo tamaduni ambazo ni sahihi, at least jamii karibu zote duniani tunaweza kukubaliana hivyo. Pia, zipo tamaduni potofu ambazo baadhi ya hizo, dunia ilikwisha achana nazo zamani, tumeishia kuzisoma kwenye vitabu.
Katika suala la usahihi, zipo sababu ama vigezo ambavyo wote ama wengi wetu tunaweza kuvitumia kupitia maarifa tuliyonayo kukubaliana kuwa utamaduni fulani si sahihi hata kama kuna eneo mahali fulani linafuata utamaduni huo wakiuona kuwa ni sahihi kwao.
Huko Mwenye ndevu anapewa kipaumbele zaidi kuliko mwenye degree au weledi wa kazi husikaNdevu zinaongeza competence kazini? Ama ndevu ndiyo competency yenyewe?!
Nchini Afghanistan, viongozi wa Taliban wamepiga marufuku wafanyakazi wa serikali ambao hawana ndevu kufika ofisini.
Taliban wanasema mfanyakazi yoyote wa serikali lazima awe na ndevu za kueleweka, hakuna kunyoa ndevu na wafanyakazi wote ambao hawana ndevu wamepewa muda kabla hawajafukuzwa kazi moja kwa moja.
Ni uchaguzi wako, ufuge ndevu ama ufukuzwe kazi😂
Kwa hiyo kwako SI Unit ya kujua usahihi wa jambo umeegemea kwenye factor zipi?Tuanzie kwanza kwny utamaduni wa ushoga!
Kwa hiyo Jamii kubwa ikikubaliana nao inakuwa sahihi?
Mie kwa mtazamo wangu usahihi wa jambo hautegemei wangapi wanakubali au wangapi wanapinga kwa kuwa kukubali au kukataa kuna sababu kadhaa, mf. Kuna Jamii zimejikuta zinahalalisha haramu ili tu wasitengwe na jumuia za kimataifa
kabla ya hapo walitoa tamko kua ni mwiko kwa barbershop kunyoa wanaume ndevuSasa kwa wale ambao ndevu hazioti wafuge ndevu bandia??!!
Unategemea hoja husika sio wengi wakiunga mkono au kupinga basi nawe unazolewa kwa hoja watu wengi au maeneo mengi wanakubali/wanakataa jambo fulaniKwa hiyo kwako SI Unit ya kujua usahihi wa jambo umeegemea kwenye factor zipi?
Majinga mno yale majamaa
Kwa mada hii iliyowasilishwa na mleta mada una conclude vipi kupitia kanuni zako?Unategemea hoja husika sio wengi wakiunga mkono au kupinga basi nawe unazolewa kwa hoja watu wengi au maeneo mengi wanakubali/wanakataa jambo fulani
Kuna Ki NGO kimoja kilienda eneo fulani kupinga ukeketaji…akakutana na watu wakawahoji ikiwa mnakubali ushoga kwa hoja kuwa ni uamuzi binafsi jee tukisubiri ma binti wafikie age of majority halafu wafanye uamuzi wa hiyari kukeketwa mtakuwa radhi kutuunga mkono kama mfanyavyo kwa wapenzi wa jinsia moja? … wakaanza blaa blaaa sijui azimio sijui sera za kupinga ukeketaji ni sera ya Dunia na