Afghanistan: Taliban imesema ni marufuku mfanyakazi wa Serikali kutokuwa na Ndevu. Kama huna Ndevu usikanyage kazini

Jipe moyo mtalebani wa buza...ila chini ya Westerners kila goti litapigwa.


#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa washenzi Wana mambo ya kidwanzi Sana,
 
Viongozi wa namna hii wenye misimamo thabiti ndio hasa wanaohitajika katika dunia hii ya leo iliyopo kwenye kipindi cha mpito.
Hata sisi huku tunaodeka kwa kuongozwa na Mama huko tutafika japo hatujui ni lini na kwanamna gani, maadhali dunia haijasimama mabadiliko hayaepukiki.
 
Ndevu ni sunnah sheikh....
 
Muarabu aliachia watu laana ya dini yake, utakuta hata huku Afrika mtu ameng'ang'ania mindevu kisa dini ya muarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…