Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Sijui akili za wapi hizi, lini taleban alishinda majeshi ya USA?Baada ya kushindwa majeshi ya marekani na kuikimbia nchi, unategemea UN na mwenzie wataizungumzia vizur afghan!!!! Na bado watazushiwa mengine mbali na hilo.