Afghanistan: Taliban 'wafanya msako wa nyumba kwa nyumba' Umoja wa Mataifa umeeleza

Afghanistan: Taliban 'wafanya msako wa nyumba kwa nyumba' Umoja wa Mataifa umeeleza

Afghanistan ni moja kati ya nchi masikini sana duniani but inamiliki silaha nzuri na za kisasa and very expensive yaani halafu wanaozitumia hizo silaha hawana viatu vya maana miguuni. Wafrica na waarabu nadhani tunafanana fanana
Ila pia hao wagambo wa Taliban wana ndinga kali....Ford Ranger pick up saafi!
 
Osama amekufa lini, na Mulla amekufa lini? Kwann wasiondoke baada ya kuuawa kwao, kama lengo lao ni hilo!

Na je, una ushahidi gani kama walimkamata osama na kumtupa baharini? Hizi Propaganda za western mnaziamini mno, at end of the day mtajikuta mlikua wajinga.
Takbir al-Tashreeq -تكبير التشريق
Jinga sana wewe!
 
Wamalizane tu misukule hao wameganda kwenye dini ambayo kila siku inawasababishia maafa badala ya amani na upendo, yaani waachwe hivyo hivyo wachinjane na kulipuana kwa kwenda mbele labda ipo siku watatia akili.
Mbna povu limekutoka sana MKUU[emoji16][emoji16][emoji38]


Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
US kasepa sasa vibaraka hawajui cha kufanya

Hii itatokea siku ccm wakiondoshwa kwenye usukani kuna mbwa watatafuta mahali pa kuweka makalio yao
 
Soon Afghanistan will definitely be a failed and a pariah state.
 
Ila pia hao wagambo wa Taliban wana ndinga kali....Ford Ranger pick up saafi!
Yaah, ndio ninacho shangaa, watumiajiwa wa hizo ndinga kali kali na watumiaji wa hizo silaha za bei mbaya na za kisasa wao wenyewe hawana viatu; hi kitu inanishangazaga sana yaani.
 
Back
Top Bottom