Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Sijui akili za wapi hizi, lini taleban alishinda majeshi ya USA?Baada ya kushindwa majeshi ya marekani na kuikimbia nchi, unategemea UN na mwenzie wataizungumzia vizur afghan!!!! Na bado watazushiwa mengine mbali na hilo.
Sijui akili za wapi hizi, lini taleban alishinda majeshi ya USA?
Kule siyo kwao, kuondoka Ni lazima. Sehemu ambayo yatabaki milele Ni kwao USA tu.Kwanini yaondoke? Maana yake wameshindwa
Ulitaka wakae milele?
Lengo lao lilikuwa kumkamata Osama na kumuadhibu Mullamulah na hiyo kazi waliimaliza, unatakaje?
Vita ni gharama walikuwa sahihi kuondoka
Kule siyo kwao, kuondoka Ni lazima. Sehemu ambayo yatabaki milele Ni kwao USA tu.
Kwa akili yako unaona kuondoka Ni kwamba wameshindwa? Ni Sera na ahadi za rais mpya Joe Biden.
Trump alisemaje?Wameshindwa hao, refer speech ya trump ndiyo utaelewa. Yani marekani bila msaada c chochote.
Hapo dawa ni kununua kanzu fupi tuHapo mwanaume kama huna ndevu na nywele lazima ile kwako....
Trump alisemaje?
Sasa naona umesoma hujaelewa au hujasoma au labda Imani ndo inakufanya usielewe.
Wapigwe na nani sasa wakati hao mabwana wa dunia washakula mkunjoLazima wapigwe hawa
Kwani mkuu Afganistan ni waarabu?
Hata km sio waarabu ila ni wajinga na magaidi km waarabu
Haya magaidi yanaiharibu dunia
Waafrica kwenye hili unawaonea hakuna race ya wajinga duniani km waarabu
Haya magaidi yanaiharibu dunia
Hata km sio waarabu ila ni wajinga na magaidi km waarabu
Mkuu Dalmine President Biden katika kujitetea kwake baada ya kutupiwa lawama za kwanini waliyaondoa majeshi mapema na katika moja ya utetezi wake alisema There is no National InterestKwanini yaondoke? Maana yake wameshindwa
Ndio hivyoZengwe hilo linatengenezwa baada ya kuona hakuna machafuko.