Ndio ukweli huo....lazima msumbuane kama tunavyosumbuana nao huku mtaani.🤣🤣 Wanajua mwanamke alipewa uhuru mwanaume hawezi kuwa salama
Wee undhani huko kandahar Kuna mwanamke utasthubutu kusema " nipige kama wee mwanaume nipge" 🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ukweli huo....lazima msumbuane kama tunavyosumbuana nao huku mtaani.🤣🤣 Wanajua mwanamke alipewa uhuru mwanaume hawezi kuwa salama
🤣🤣🤣🤣Wakisikia Kuna nchi Ina raisi mwanamke watacheka sana
Hapo ndo na mimi uwa wananichosha sanaUtashangaa wanakuja London kudai hiyo "sharia" nayo iwepo hawa watu sijui wamerogwa
Kama ni kweli wamepiga marufuku hilo hao ni wapotofu, Quran inawataka wanawake wasilegeze sauti waongeapo mbele ya hadhara, waislam wanna vitabu vyao vya muongozo tofauti na QuranHili Lina ukweli? Au ni uhafidhina wa kidini tu ?
inamankusweke adriz FaizaFoxy mgen Bwana Utam Adiosamigo Hammaz Baljurashi
Hayupo 😁Ndio ukweli huo....lazima msumbuane kama tunavyosumbuana nao huku mtaani.
Wee undhani huko kandahar Kuna mwanamke utasthubutu kusema " nipige kama wee mwanaume nipge" 🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo humu bi FaizaFoxy anavunja sheria?🤣🤣 Wanajua mwanamke alipewa uhuru mwanaume hawezi kuwa salama
Unamaanisha Quran sio kamilifu?Kama ni kweli wamepiga marufuku hilo hao ni wapotofu, Quran inawataka wanawake wasilegeze sauti waongeapo mbele ya hadhara, waislam wanna vitabu vyao vya muongozo tofauti na Quran
Mhh ko nguruwe hawafugwi kabisa hukoUnaweza kupata kwa magendo kama madawa ya kulevya ambapo kilo ya nyama yake inaweza kufikia kiasi cha laki unusu kwa fedha za Tanzania
Adhabu yake ikoje kama ikikiukwa?Safi sana, wanawake umbea mwingi na majungu na kushikana masikio,
Mwanamke azungumze na mumewe, naam! maa shaa Allah
Nyama zinapelekwa na ndege za kidiplomasia na wazunguMhh ko nguruwe hawafugwi kabisa huko
Kwani mimi nikisema Kipondo Cha ugoko nakuf ira, itakua ndio uislamu unataka nifanye hivyo?.Hawa wenzetu wanashida Gani na wanawake?? Maana Kila kukicha wanatunga Sheria za kumkandamiza mwanamke, je wanawake waliwakosea Nini?? Aisee hii dini haifai hata kidogo.
Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake.
Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya kiislamu hasa ya Mtume na Allah. Mwanamke aongee na mumewe tu.
Kumbuka hivi karibuni Talibani ilipiga marufuku saluni za kike na za kiume na kutangaza kwamba ni marufuku kwa mwananchi wa Afghanistan kunyoa nywele na ndevu kwani ni kinyume na mafundisho ya kiislamu. Pia Talibani ilipiga marufuku wanawake kupiga simu redioni ama mwanamke kuongea sauti yake ikasikika public.
View: https://x.com/HabibKhanT/status/1850241627530424578?s=19
Duhh kwaniniNyama zinapelekwa na ndege za kidiplomasia na wazungu
Wateja wa kisirisiri wapo. Hasa wageniDuhh kwanini