Afghanistan: Talibani imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Marufuku mwanamke kuongea na mwanamke mwenzie

Kama ni kweli wamepiga marufuku hilo hao ni wapotofu, Quran inawataka wanawake wasilegeze sauti waongeapo mbele ya hadhara, waislam wanna vitabu vyao vya muongozo tofauti na Quran
Unamaanisha Quran sio kamilifu?
 
Mula wa Taliban ni mnafiki anatesa watu wake na Islamic Sharia wakati yeye ni Member wa PornHUB.
 
Unaweza kupata kwa magendo kama madawa ya kulevya ambapo kilo ya nyama yake inaweza kufikia kiasi cha laki unusu kwa fedha za Tanzania
Mhh ko nguruwe hawafugwi kabisa huko
 
Hawa wenzetu wanashida Gani na wanawake?? Maana Kila kukicha wanatunga Sheria za kumkandamiza mwanamke, je wanawake waliwakosea Nini?? Aisee hii dini haifai hata kidogo.
Kwani mimi nikisema Kipondo Cha ugoko nakuf ira, itakua ndio uislamu unataka nifanye hivyo?.
Msiache kabisa kabisa lakini punguzeni kidogo basi ISLAMAPHOBIA.
 
Nasemajeeee hii dini, anyway nisiongeze kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…