Afghanistan yatuma Brigade moja ya wapigani Kusaidia Lebanon

Taliban ni Sunni OG hawaivi na mashia wa hezibollah. Kama kweli wameenda huko labda ni gia tu kuondokea Afghanistan.
 
Taliban ni Sunni OG hawaivi na mashia wa hezibollah. Kama kweli wameenda huko labda ni gia tu kuondokea Afghanistan.
Taliban ndio wanaoendesha Afghanistan,waondoke kwanini!?
Middle east mambo ya usunni na shia yameshawekwa pembeni labda kama hujafuatilia.
Houthi ni Sunni na wana muunganiko na Hizbollah na Iran ambao ni shia.
Bahrain kuna kundi jipya la wapiganaji la kisunni linafadhiliwa na Iran mashia.
 
Houth sio sunni.

The Houthi movement (โซฝหˆhuหฮธiโซฝ; Arabic: ุงู„ุญูˆุซูŠูˆู† al-แธคลซthiyลซn [al.ฤงuห.ฮธi.juหn]), officially known as Ansar Allah[a] (ุฃู†ุตุงุฑ ุงู„ู„ู‡ สพAnแนฃฤr Allฤh, lit.โ€‰'Supporters of God'), is a Shia Islamist political and military organization that emerged from Yemen in the 1990s. It is predominantly made up of Zaidi Shias

Hujaelewa vizuri division iliyopo kati ya Sunni na Shia.
Ni rahisi shia kutoa ushirikiano kwa sunni lakini sio rahisi sunni kutoa ushirikiano kwa Shia. Kimtazamo, wasunni wanaowaona mashia kama makafiri tu. Hata animosity iliyopo kati ya Saudia na Iran is about sunni-shia differences.
 
Basi hujui historia ya hilo kundi.
Umeokoteza tu article Wikipedia ukaja kuweka hapa.
Yemeni hilo kundi la Houthi lilianzishwa na ANSWAR,ndio maana lilianza kujulikana kama answarullah,Yemeni kuna kundi la shia ambao sio shia waliokufuru,ni shia ambao wana mtizamo tofauti na shia wa Iran,na shia wa Yemeni hawafuati kanuni za kama shia wa Iran na sehem zingine,hata kuswali ni tofauti,hata itikadi tofauti,ndio hao waliokuja kuongeza nguvu ndani ya kundi.
Hiyo Iran imeanza kuja kuisapoti Houthi miaka ya 2010s.
Ila kabla ya hapo Sunni na shia wamefanya kazi pamoja ndani ya Houthi/Yemeni.
Bahrain kuna kundi jipya la kisunni na linafadhiliwa na Iran.
Sasa hivi ugomvi wa madhehebu hakuna umeshafutika,watu wanakaa meza moja kuzungumza.
Labda kama hufuatilii habari.
 
Sawa.
 
...The Houthis, who adhere to a branch of Shia Islam known as Zaidism, have staged periodic uprisings since 2004 in an effort to win greater autonomy for their northern heartland of Saada province...

 
Mlivyokua hamuna hata akili za kujiongeza
Wanajificha nyuma ya raia ila bomu likipigwa linachagua wakufa wanakufa raia hamas wanapona wanaendelea kukiwasha
Washabiki wa taif teule mmepokonywa mawazo maarifa akili na fikra
Wanakufa wanawake na watoto? Linakuingia akilini?
 
ALQAEDA from Afghanistan tena kundi ambalo hata Afghanistan hawaliungi mkono,Yemeni kafuata nini!??
 
Hawa ni kama wameona wanachelewa kupata zile bikra 72 hivyo wanazitafuta kwa nguvu sasa.
 
Ukitaka AMANI na Yahudi UTAIPATA Tena ya kumwaga!
Ukitaka vita na Yahudi walahi utakoma!
MUNGU WAO Amewaagiza!
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Torati.19:20-21
[19]Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.

[21]Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ