Basi hujui historia ya hilo kundi.
Umeokoteza tu article Wikipedia ukaja kuweka hapa.
Yemeni hilo kundi la Houthi lilianzishwa na ANSWAR,ndio maana lilianza kujulikana kama answarullah,Yemeni kuna kundi la shia ambao sio shia waliokufuru,ni shia ambao wana mtizamo tofauti na shia wa Iran,na shia wa Yemeni hawafuati kanuni za kama shia wa Iran na sehem zingine,hata kuswali ni tofauti,hata itikadi tofauti,ndio hao waliokuja kuongeza nguvu ndani ya kundi.
Hiyo Iran imeanza kuja kuisapoti Houthi miaka ya 2010s.
Ila kabla ya hapo Sunni na shia wamefanya kazi pamoja ndani ya Houthi/Yemeni.
Bahrain kuna kundi jipya la kisunni na linafadhiliwa na Iran.
Sasa hivi ugomvi wa madhehebu hakuna umeshafutika,watu wanakaa meza moja kuzungumza.
Labda kama hufuatilii habari.