Afghanistan yatuma Brigade moja ya wapigani Kusaidia Lebanon

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Baada ya Wanamgambo wa NATO kukimbia Afghanistan kwa kasi ya mwendo wa Ngiri mkia juu na kutelekeza Silaha Vifaru ndege na zana zingine kuwaachia Taliban, Military base zote kama Bagram Military base kuimefanya kuwa na Jeshi imara na sasa wanaanza kutoa msaada kwa Nchi jirani. Masaa machache Brigade ya Fatemiyoun imetua Syria tayari kuelekea Lebanon kutoa kipigo kwa Wanamgambo wa Israel, ikumbukwe Taliban ni wapigani wa Gorrila

BREAKING:
🇦🇫🇮🇱🇱🇧 Thousands of additional Afghan fighters from the Fatemiyoun Brigade have arrived in Syria to bolster Hezbollah's ranks if needed - I24

It's already happening. After announcing just a few weeks ago, the Taliban are already fulfilling their promise.

Taliban brigades are being formed and are preparing in Syria for the war with Israel. Next are the Houthis, who have a huge mobilization potential - 2 million reservists.

@IranObserver0
 
Attachments

  • IMG_20240704_204122.jpg
    IMG_20240704_204122.jpg
    132.2 KB · Views: 5
  • images-12.jpeg
    images-12.jpeg
    40.4 KB · Views: 5
  • images-11.jpeg
    images-11.jpeg
    41.9 KB · Views: 5
  • images-9.jpeg
    images-9.jpeg
    11.5 KB · Views: 5
Mkuu ungekuwa unaangalia Aljazeera watu wanavyoteseka...ungepiga dua sana Mungu awaepushie vita hivi
Tunaomba sana Dua mkuu tatizo kuna Mataifa ndio yanaongoza kwa kuvuruga mataifa mengine sasa ili ujichomoe kwenye hiyo mikono yao ndio unakutana mauaji ya wasiokua na hatua chukulia mfani DRC kwa amani haipatikani tatizo ni mabepari yanayonufaika na kutokuwepo amani ili waendelee kuiba ila wanaoteseka ni wasio kua na hatia
 
Attachments

  • IMG_20240416_144859.jpg
    IMG_20240416_144859.jpg
    131.9 KB · Views: 5
Tunaomba sana Dua mkuu tatizo kuna Mataifa ndio yanaongoza kwa kuvuruga mataifa mengine sasa ili ujichomoe kwenye hiyo mikono yao ndio unakutana mauaji ya wasiokua na hatua chukulia mfani DRC kwa amani haipatikani tatizo ni mabepari yanayonufaika na kutokuwepo amani ili waendelee kuiba ila wanaoteseka ni wasio kua na hatia
DRC hata nchi yako inaweza kuhusika...imeshakua shamba la bibi
 
Tunaomba sana Dua mkuu tatizo kuna Mataifa ndio yanaongoza kwa kuvuruga mataifa mengine sasa ili ujichomoe kwenye hiyo mikono yao ndio unakutana mauaji ya wasiokua na hatua chukulia mfani DRC kwa amani haipatikani tatizo ni mabepari yanayonufaika na kutokuwepo amani ili waendelee kuiba ila wanaoteseka ni wasio kua na hatia
Hata Kule ukraine watoto wanauliwa....
 
CT
Ukraine Russia anapiga Military Facility tu kama Maghala ya silaha, Base na Equipment , sio kama magaidi wa Israel wanashambulia Hospital, Mashule, Makanisa Wazee, watoto ndio maana Taliban wanaenda kutoa dozi
Hayo yote ulotaja Russia kayafanya Ukraine.
 
Baada ya Wanamgambo wa NATO kukimbia Afghanistan kwa kasi ya mwendo wa Ngiri mkia juu na kutelekeza Silaha Vifaru ndege na zana zingine kuwaachia Taliban, Military base zote kama Bagram Military base kuimefanya kuwa na Jeshi imara na sasa wanaanza kutoa msaada kwa Nchi jirani. Masaa machache Brigade ya Fatemiyoun imetua Syria tayari kuelekea Lebanon kutoa kipigo kwa Wanamgambo wa Israel, ikumbukwe Taliban ni wapigani wa Gorrila

BREAKING:
🇦🇫🇮🇱🇱🇧 Thousands of additional Afghan fighters from the Fatemiyoun Brigade have arrived in Syria to bolster Hezbollah's ranks if needed - I24

It's already happening. After announcing just a few weeks ago, the Taliban are already fulfilling their promise.

Taliban brigades are being formed and are preparing in Syria for the war with Israel. Next are the Houthis, who have a huge mobilization potential - 2 million reservists.

@IranObserver0
Mkuu Israel na USA wana wanajeshi sio wanamgambo.
Rekebisha kiswahili ama misamiati.
Wanamgambo ni Hizbollah na Hamas.
Ila kama hili ni kweli aiseee Israel kazi anayo,maana hao Taliban sio cha mtoto.
 
Tunaomba sana Dua mkuu tatizo kuna Mataifa ndio yanaongoza kwa kuvuruga mataifa mengine sasa ili ujichomoe kwenye hiyo mikono yao ndio unakutana mauaji ya wasiokua na hatua chukulia mfani DRC kwa amani haipatikani tatizo ni mabepari yanayonufaika na kutokuwepo amani ili waendelee kuiba ila wanaoteseka ni wasio kua na hatia
ewe mtumwa tuma ya sudan kusin.
 
Mkuu Israel na USA wana wanajeshi sio wanamgambo.
Rekebisha kiswahili ama misamiati.
Wanamgambo ni Hizbollah na Hamas.
Ila kama hili ni kweli aiseee Israel kazi anayo,maana hao Taliban sio cha mtoto.
Ninachojua ni kitu kimoja hapa, hii vita itakuwa kali sana na upande ambao wataumia siku ya mwisho ni Lebanon, keep this sms
 
Kiuchumi Lebanon wataweza kuumia japo washazoea maana walianza kuumia tokea 2006 kiuchumi.
Ila in casualty Israel ataumia sana.
Mind you hao ni Taleban waliochangia kuvunjika kwa USSR.
 
Back
Top Bottom