Afilisiwa kiwanja na nyumba kisha kukatwa mkono kisa madeni ya vikoba vya mke wake

Kwani Mke kupeleka Hati yenye Jina la Mume inaruhusiwa.....????na mahakama inaamua vipi kesi ambayo mmiliki halali hajahusika popote..??

Mimi nnavojua kama Hati ina jina langu huwezi fanya nayo jambo lolote kwa siku hizi,,,,ni sawa na uchukue Kadi OG ya gari yangu halafu ukachukulie mkopo bila mimi kufahamu....sidhani hata kama huo mkopo watakupatia....hivyohivyo na kwenye hati ya Nyumba,,, unampaje Mkopo ilihali unaona jina la hati sio la kwake???

Wataalamu hebu elezeni kisheria hii imekaaje....?????
Wewe ni mchangiaji bora. Hii ni chai bila shaka. Kutoa hati ya nyumba bila huko vikoba kuhakiki kama wote wanakubali?
 
kuna jamaa mmoja mwanasheria nilimwuliza hilo swali akaniambia mtu hawezi kuuza nyumba kwa hati halali ambayo si yake
Kwahyo mkuu nafikiri hii Stori ni CHAI(UONGO),,,,sidhani kama Askari na Mahakama hawajui hio Sheria....

Mke hawezi pewa Mkopo kwa kuweka dhamana Mali isiyo yake,,,na bila ruhusa ya mwenye Mali (Ki-maandishi).....

Ndugu WASOMAJI,,, kuendelea kutoa maoni ya kweli kwenye Stori ya Uongo ni kupoteza Muda,,,,Yajueni ya Kuzingatia na mtunze Muda ili nao uwatunze....

Mleta uzi mshale21 kama una lakuongeza eleza,,,,kufanya Stori yako iwe na uhalisia....ili uokoe Muda wako na Muda wetu pia...
 
Sijaelewa na siamini!! Kwani hati ilikuwa na jina gani? Hata kama ni jina la mme na mke, ni lazima wote wahusishwe! Huyo hakimu vipi???
 
Wakuu habarini!

Hawa wanawake wasiojitambua Ni changamoto Sana!

Hapa kitaa Kuna kisa kimetokea na ugomvi kuzuka wa hali ya juu!

Ni hivi, Kuna mzee mmoja hapa mwenye mke na watoto, ambaye kwa hali ngumu za kimaisha lakini kakomaa na kununua kiwanja kisha akajenga nyumba yake ya kuishi na family yake na ziada ya wapangaji vyumba vitatu!

Sasa, mke wake kaingia kwenye vikoba, kakopa kisirisiri kisha kaweka lehani hati ya nyumba ( ambayo aliiba bila mmewe kujua) kwa madai ya kuwa atarejesha!

Mambo yakamgeukia mama huyo lakini ilimladhimu kuwa msiri kwani aliogopa kumshirikisha mmewe.

Muda umeenda Sana, one daya mara ghafla bini vuu , mapolisi, na wanavikoba wamekuja pale wako mobu Sana, wanaulizwa kulikon, mzee anaambiwa hii nyumba sio yako, mke wako aliweka rehani kama dhamana ya mko wa tsh mil5 ambazo zimemshinda kurejesha, muda aliopewa na mahakama umefika na hivyo mahakama imetoa amri ya kutaifishwa kwa nyumba na kiwanja!

Kwa hiyo, wakaamuliwa kutoa kila kitu , wakatoa wakafukuzwa kutafuta hifadhi kwa wasamalia.

Siku kadhaa mbele wamekuja ndg wa mwanaume na ugomvi ukazuka kati yao na mwanamke kiasi ambacho mmoja wao ( shemeji yake) akaanyanyua panga kumkata yule mama , lakini kabla hajafikisha upanga, kumbe mme mtu kaingia kumkinga mke wake na hivyo upanga ukatua kwenye mkono wa kulia!

Jamani tuishi na wanawake kwa akili
Angepata mtaalam hiyo nyumba ingebaki. Mtu hawezi kuweka rehani matrimonial home kiholela hivi hivi tu
 
Vitu vya muhimu kama hati ukishajua akili za mkeo sio nzima bora uvifiche au jichange nunua safe box au tengeneza hata la chuma fungia nyaraka zako zote akivunja utajua majanga kama hayo yanakuja kisa uzembe mdogo mdogo na amini usiamini huyo mwanamke akiona maisha magumu anasepa anamuacha mzee wa watu akiwa hana vyake
 
Wakuu habarini!

Hawa wanawake wasiojitambua Ni changamoto Sana!

Hapa kitaa Kuna kisa kimetokea na ugomvi kuzuka wa hali ya juu!

Ni hivi, Kuna mzee mmoja hapa mwenye mke na watoto, ambaye kwa hali ngumu za kimaisha lakini kakomaa na kununua kiwanja kisha akajenga nyumba yake ya kuishi na family yake na ziada ya wapangaji vyumba vitatu!

Sasa, mke wake kaingia kwenye vikoba, kakopa kisirisiri kisha kaweka lehani hati ya nyumba ( ambayo aliiba bila mmewe kujua) kwa madai ya kuwa atarejesha!

Mambo yakamgeukia mama huyo lakini ilimladhimu kuwa msiri kwani aliogopa kumshirikisha mmewe.

Muda umeenda Sana, one daya mara ghafla bini vuu , mapolisi, na wanavikoba wamekuja pale wako mobu Sana, wanaulizwa kulikon, mzee anaambiwa hii nyumba sio yako, mke wako aliweka rehani kama dhamana ya mko wa tsh mil5 ambazo zimemshinda kurejesha, muda aliopewa na mahakama umefika na hivyo mahakama imetoa amri ya kutaifishwa kwa nyumba na kiwanja!

Kwa hiyo, wakaamuliwa kutoa kila kitu , wakatoa wakafukuzwa kutafuta hifadhi kwa wasamalia.

Siku kadhaa mbele wamekuja ndg wa mwanaume na ugomvi ukazuka kati yao na mwanamke kiasi ambacho mmoja wao ( shemeji yake) akaanyanyua panga kumkata yule mama , lakini kabla hajafikisha upanga, kumbe mme mtu kaingia kumkinga mke wake na hivyo upanga ukatua kwenye mkono wa kulia!

Jamani tuishi na wanawake kwa akili
story yangu nzuri
lakini kaa ukijua kuwa mtu hawezi kwenda

huwezi kukopa mkopo kwa hati ya nyumba yenye jina tofauti na mkopaji abadani hii ni story tu boss asante kwa kuchangamsha genge.

na hata kama hati itakuwa na double ownership jua ote lazma waridhie na waingie makubaliano
 
Kisheria hamnaga kitu Kama hchoo@huwez week Rehan au uza nyumbaa ambayo inaa hati ya mtu mwnginee....ahsante kwa chai ndgu
 
Kwani Mke kupeleka Hati yenye Jina la Mume inaruhusiwa.....????na mahakama inaamua vipi kesi ambayo mmiliki halali hajahusika popote..??

Mimi nnavojua kama Hati ina jina langu huwezi fanya nayo jambo lolote kwa siku hizi,,,,ni sawa na uchukue Kadi OG ya gari yangu halafu ukachukulie mkopo bila mimi kufahamu....sidhani hata kama huo mkopo watakupatia....hivyohivyo na kwenye hati ya Nyumba,,, unampaje Mkopo ilihali unaona jina la hati sio la kwake???

Wataalamu hebu elezeni kisheria hii imekaaje....?????
Hii stori sizanj kama imekamilika ,huwezi kopea nyumba mkopo bila kuwa na ruhusa kutoka kwa mke au mume narudia tena "HUWEZI" na kama walikubali kumkopesha bila ruhusa ya mume.
 
Kwani Mke kupeleka Hati yenye Jina la Mume inaruhusiwa.....????na mahakama inaamua vipi kesi ambayo mmiliki halali hajahusika popote..??

Mimi nnavojua kama Hati ina jina langu huwezi fanya nayo jambo lolote kwa siku hizi,,,,ni sawa na uchukue Kadi OG ya gari yangu halafu ukachukulie mkopo bila mimi kufahamu....sidhani hata kama huo mkopo watakupatia....hivyohivyo na kwenye hati ya Nyumba,,, unampaje Mkopo ilihali unaona jina la hati sio la kwake???

Wataalamu hebu elezeni kisheria hii imekaaje....?????
Upo sahihi kabisa, pia vitu vya mikopo vya kuweka rehani asset lazima kuwe na consent i mean consent ya wanandoa kwa chochote kitakacho weka rehani wawe wamekubaliana na kuwe na saini ya pande mbili na mwanasheria kuidhinisha hilo, sasa mambo yameenda kiholela na mahakama gani imetoa hukumu na utekelezaji ya kuwatoa bila taarifa maana barua ingeshamfikia huyo mzee na angeenda kuweka pingamizi mahakamani kuna kaulakini kwenye hili
 
Back
Top Bottom