Afilisiwa kiwanja na nyumba kisha kukatwa mkono kisa madeni ya vikoba vya mke wake

Afilisiwa kiwanja na nyumba kisha kukatwa mkono kisa madeni ya vikoba vya mke wake

Hivi mi nashangaa kweli yaan,mwanamke unahudumiwa na watoto wako %percent vikoba vya Nini,madeni ya nn mwee.Juz jiran yangu wamekuja kwangua vitu ndani kikoba Cha mkewe kabaki kushangaa alikuwa haelewi kama mkewe alikuwa anadaiwa
 
Mkuu mbona bandiko lako linauwalakini

Ili uweze kukopea nyumba yenye hati lazima pande zote ke vs me waweze kukubaliana kwa maandishi

Hata kama huyo mama ali shindwa lipia rejesho hiyo kesi ingetupiliwa mbali na mahakama kwani haina legal force mbele ya mahakama

Kama ni fiction sawa ila story yako ina mapungufu mengi yaliyo wazi

Nb.kumbuka kukopeshana pesa ni swala ambalo halina jinai ndani yake
So police force wanakuja kuuza nyumba au eviction order ina kuwa executed bila kutolewa notice
 
najuta kusoma hili jambo. Hapa naumia moyo kwa ujinga wa mwanaume mwenzangu. MUNGU anisamehe kwa haya niwazayo kwa huyo mwanamke.

ila pia sio kweli, nyumba ya John hawezi uza Juma, hakuna hakimu mjinga hivyo akatoa hukumu isiyo na miguu. Labda nyumba iwe ya mwanamke kwa jina lake.
 
Kwahyo mkuu nafikiri hii Stori ni CHAI(UONGO),,,,sidhani kama Askari na Mahakama hawajui hio Sheria....

Mke hawezi pewa Mkopo kwa kuweka dhamana Mali isiyo yake,,,na bila ruhusa ya mwenye Mali (Ki-maandishi).....

Ndugu WASOMAJI,,, kuendelea kutoa maoni ya kweli kwenye Stori ya Uongo ni kupoteza Muda,,,,Yajueni ya Kuzingatia na mtunze Muda ili nao uwatunze....

Mleta uzi mshale21 kama una lakuongeza eleza,,,,kufanya Stori yako iwe na uhalisia....ili uokoe Muda wako na Muda wetu pia...
Hahaha, law of contract act.. LCA
 
Naomba kufahamu ,je kisheria mwanamke ambaye hamjafunga ndoa na mmezaa na kuishi pamoja ana haki sawa na mwanamke aliyeolewa kwa ndoa kwenye ishu ya mgawo wa mali mnapoachana iwapo mali zote ni za mwanaume
 
Nimeona nguvu ya upendo wa mume...

Pamoja na yote bado anamlinda mkewe...

Upendo huvumilia, upendo husamehe...
Sometime wanaume hua tunawatuma wakezetu mwisho wa shoo anageuziwa kibao mke haiwezekani hati yanyumba iwekwe na kikundi kikijua nimke wamtu na mumewe asijue
 
Back
Top Bottom