Afilisiwa kiwanja na nyumba kisha kukatwa mkono kisa madeni ya vikoba vya mke wake

Wewe ni mchangiaji bora. Hii ni chai bila shaka. Kutoa hati ya nyumba bila huko vikoba kuhakiki kama wote wanakubali?
 
kuna jamaa mmoja mwanasheria nilimwuliza hilo swali akaniambia mtu hawezi kuuza nyumba kwa hati halali ambayo si yake
Kwahyo mkuu nafikiri hii Stori ni CHAI(UONGO),,,,sidhani kama Askari na Mahakama hawajui hio Sheria....

Mke hawezi pewa Mkopo kwa kuweka dhamana Mali isiyo yake,,,na bila ruhusa ya mwenye Mali (Ki-maandishi).....

Ndugu WASOMAJI,,, kuendelea kutoa maoni ya kweli kwenye Stori ya Uongo ni kupoteza Muda,,,,Yajueni ya Kuzingatia na mtunze Muda ili nao uwatunze....

Mleta uzi mshale21 kama una lakuongeza eleza,,,,kufanya Stori yako iwe na uhalisia....ili uokoe Muda wako na Muda wetu pia...
 
Sijaelewa na siamini!! Kwani hati ilikuwa na jina gani? Hata kama ni jina la mme na mke, ni lazima wote wahusishwe! Huyo hakimu vipi???
 
Angepata mtaalam hiyo nyumba ingebaki. Mtu hawezi kuweka rehani matrimonial home kiholela hivi hivi tu
 
Vitu vya muhimu kama hati ukishajua akili za mkeo sio nzima bora uvifiche au jichange nunua safe box au tengeneza hata la chuma fungia nyaraka zako zote akivunja utajua majanga kama hayo yanakuja kisa uzembe mdogo mdogo na amini usiamini huyo mwanamke akiona maisha magumu anasepa anamuacha mzee wa watu akiwa hana vyake
 
story yangu nzuri
lakini kaa ukijua kuwa mtu hawezi kwenda
huwezi kukopa mkopo kwa hati ya nyumba yenye jina tofauti na mkopaji abadani hii ni story tu boss asante kwa kuchangamsha genge.

na hata kama hati itakuwa na double ownership jua ote lazma waridhie na waingie makubaliano
 
Kisheria hamnaga kitu Kama hchoo@huwez week Rehan au uza nyumbaa ambayo inaa hati ya mtu mwnginee....ahsante kwa chai ndgu
 
Hii stori sizanj kama imekamilika ,huwezi kopea nyumba mkopo bila kuwa na ruhusa kutoka kwa mke au mume narudia tena "HUWEZI" na kama walikubali kumkopesha bila ruhusa ya mume.
 
Upo sahihi kabisa, pia vitu vya mikopo vya kuweka rehani asset lazima kuwe na consent i mean consent ya wanandoa kwa chochote kitakacho weka rehani wawe wamekubaliana na kuwe na saini ya pande mbili na mwanasheria kuidhinisha hilo, sasa mambo yameenda kiholela na mahakama gani imetoa hukumu na utekelezaji ya kuwatoa bila taarifa maana barua ingeshamfikia huyo mzee na angeenda kuweka pingamizi mahakamani kuna kaulakini kwenye hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…