Afilisiwa kiwanja na nyumba kisha kukatwa mkono kisa madeni ya vikoba vya mke wake

Hivi mi nashangaa kweli yaan,mwanamke unahudumiwa na watoto wako %percent vikoba vya Nini,madeni ya nn mwee.Juz jiran yangu wamekuja kwangua vitu ndani kikoba Cha mkewe kabaki kushangaa alikuwa haelewi kama mkewe alikuwa anadaiwa
 
Mkuu mbona bandiko lako linauwalakini

Ili uweze kukopea nyumba yenye hati lazima pande zote ke vs me waweze kukubaliana kwa maandishi

Hata kama huyo mama ali shindwa lipia rejesho hiyo kesi ingetupiliwa mbali na mahakama kwani haina legal force mbele ya mahakama

Kama ni fiction sawa ila story yako ina mapungufu mengi yaliyo wazi

Nb.kumbuka kukopeshana pesa ni swala ambalo halina jinai ndani yake
So police force wanakuja kuuza nyumba au eviction order ina kuwa executed bila kutolewa notice
 
najuta kusoma hili jambo. Hapa naumia moyo kwa ujinga wa mwanaume mwenzangu. MUNGU anisamehe kwa haya niwazayo kwa huyo mwanamke.

ila pia sio kweli, nyumba ya John hawezi uza Juma, hakuna hakimu mjinga hivyo akatoa hukumu isiyo na miguu. Labda nyumba iwe ya mwanamke kwa jina lake.
 
Hahaha, law of contract act.. LCA
 
Naomba kufahamu ,je kisheria mwanamke ambaye hamjafunga ndoa na mmezaa na kuishi pamoja ana haki sawa na mwanamke aliyeolewa kwa ndoa kwenye ishu ya mgawo wa mali mnapoachana iwapo mali zote ni za mwanaume
 
Hili listoree la uwongo asee chaaa[emoji848]
 
Nimeona nguvu ya upendo wa mume...

Pamoja na yote bado anamlinda mkewe...

Upendo huvumilia, upendo husamehe...

Sema nguvu ya Limbwata.

Utapendaje jitu lililosababisha upoteze Nyumba?
 
Nimeona nguvu ya upendo wa mume...

Pamoja na yote bado anamlinda mkewe...

Upendo huvumilia, upendo husamehe...
Sometime wanaume hua tunawatuma wakezetu mwisho wa shoo anageuziwa kibao mke haiwezekani hati yanyumba iwekwe na kikundi kikijua nimke wamtu na mumewe asijue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…