Njaa kali30
Member
- Jul 18, 2021
- 47
- 28
Habari wakuu za usiku,
Kama kawaida naomba nielezee kwa masikitiko makubwa jinsi huyu Afisa Elimu Mkoa wa Songwe anavyojifanya Mungu mtu akishirikiana na Afisa Elimu Wilaya ndugu Bhange.
Kwa bahati nzuri nilikuwa kwenye semina ya usimamizi wa mitihani, nikamsikia akimzungumzia mwalimu mmoja wa Maweni ambae alipigana na mkuu wake wa shule kwamba atafukuzwa kazi.
Naomba nielezee scenario ya mwalimu mwenywe ambavyo ilivyokuwa.
Huyu mwalimu aliempiga mkuu wake shule kwanza kabisa alipata promotion kuwa Mratibu Elimu kata, mkuu wake wa shule akaificha barua yake. Jamaa hakusema kitu akanyamanza.
Pili alipata uhamisho halali jina lijatoka TAMISEMI na akapata kibali kutoka TAMISEMI cha kuhamia Mbeya Mjini kutoka wilaya ya Songwe. Mkurugenzi aliekuwepo akamfungashia data sheet, akahama mwalimu na akaanza kufanya kazi baada ya mwezi mwalimu akaaambiwa arudi kituoni kwake kwani uhamisho sio halali , mwalimu akarudi na akaendelea na kazi hapo.
Tatu mwalimu tena ka-struggle kapata nafasi ya kufundisha chuo kutoka sekondari kupitia transfer vacancy zinazotangazwa na Serikali. Mwalimu amepata nafasi hiyo na barua ameshakabidhiwa ila mkuu wake amemkatali hakuna kwenda .
Mkuu wa Shule Maweni secondary amekuwa akishirikiana na afisa elimu wilaya (Bhange) na REO Kaponda katika kumkandamiza mwalimu,na yamekuwa malalamiko kwa walimu wengi wanaofanya kazi katika mkoa huu kwamba hata TAMISEMI ikikuhamisha Bhange na Kaponda huingilia kati kuwasiliana na ma DEO na REO kuwafanyia mtima nyongo walimu wanaotaka kuhamia katika mikoa mingine hata kama uhamisho umefuata process zote.
TAMISEMI na Wizara ya Elimu tunaomba muingilie huu ukiritimba wanaofanyiwa watumishi wenu wa Songwe.
Kwanza kwenye semina yenyewe kadhalilisha watumishi wengine mpaka kuwaitia Polisi.
Kaponda yeye kaanzisha Wizara yake ya TAMISEMI katika mkoa wake ambapo ana uwezo wa kuya-judge hata maamuzi yanayotoka Wizara ya TAMISEMI na Elimu.
Ummy Mwalimu na Ndalichako mko wapi mtu anawadhalilisha watumishi kama watoto wake mchukulieni hatua huyu.
MATUMIZI MABAYA YA OFISI
REO Kaponda amekuwa akiitumia ofisi yake kuwakandamiza wengine. Wapo walimu wengi waliokutana mkono wa chuma wa Kaponda. Ukitofautiana nae kimtazamo kifikra utajuta kwanini uko Songwe. Na alituambia ana uwezo wa kumrudisha mfanyakazi akiwa mahala popote hata akihama yeye ameanzisha wizara ndani ya wizara
Ofisi yake ilikithiri sana rushwa ya ngono wote aliowapitia either ni maaafisa elimu wilaya, Taaluma au wakuu wa shule.
Pia bhange anasumbuliwa na tatizo la ukabila watumishi wanaotokea Njombe na Iringa ndio anaowajali. Pia ni mlaji Rushwa mzuri. Kuna skendo inayomuhusu bange kupoke bahasha za waalimu kwa kuwahamisha na baadhi yao kusema kwamba bhange hawezi kutuhamisha kwa sababu akitaka kufanya hivyo tunamchangia kitu kidogo halafu anawachukua wengine na kuwahamisha ndio wanavyofanya yupo jammaaaa mmoja anasema mimi bhange hawezi nihamisha na hilo jamaaa ni lilevi sana. Haliendi hata kazini
Tunaomba uchunguzi ufanyike na ikiwezekana watu hawa wapumzishwe kuwaondolea watumishi adha wanayoipata.