Nimemaliza mwakaleli advance hiyo ishu naikumbuka Sana ,Katika mahead master vilaza kuwahi tokea Basi alikuwa ni Huyo Mwantimwa mtu wa Matamba huko, alitokea Loleza shule ya wasichana akiwa Kama second master ,,Huyo kaponda ndio hovyo kabisa had unajiuliza wanapateje vyeo hao madingi?.
Ila pia hakuna kada yenye majungu Kama kada ya walimu ,kwanza mbaya wa mwalimu ni mwalimu mwenyewe ,yaan walimu ni wanoko balaa ni watu wa kujipendekeza Sana ili wapate huto tudeal twa kusimamia mitihan na kumark ,ambato hutokea Mara moja kwa mwaka .
Hii kada hovyo Sana ndio maana hata viongoz wanawanyanyasa Sana maana washajua hakuna umoja huko full kuchomana wao kwa wao