The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Cheki huyu Jini kitu kaandikaWalimu sisi tunapigia kura Magufuli na Ccm
Yule msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheki huyu Jini kitu kaandikaWalimu sisi tunapigia kura Magufuli na Ccm
Yule msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Unataka ukapigwe makofi?Samahani hivi mshahara wa walimu unachezea Bei gani saiv maximum mwenye kujua tafadhali?
Hapana mkuu maana nashindwa kuelewa walimu wanang'ang'ania nini huko jaman plz kwa anaejua mshahara anijuze au Kama Kuna mwl humuUnataka ukapigwe makofi?
Walimu watu wa hovyo sana mwanaume mwenzako anaanzaje kukupiga makofi unamuacha?
Mshahara wa mwalimu wa degree ni laki 7 ambayo ni salary scale TGS D hyo ni basic salary.Hapana mkuu maana nashindwa kuelewa walimu wanang'ang'ania nini huko jaman plz kwa anaejua mshahara anijuze au Kama Kuna mwl humu
Kwahyo hapo laki 7 alafu bado Makati yote plus mikopo Ile??Mshahara wa mwalimu wa degree ni laki 7 ambayo ni salary scale TGS D hyo ni basic salary.
Diploma TGS C pungufu ya laki 7
Certificate TGS B
Hapo take home laki 4 na makofi juu[emoji23][emoji23]Kwahyo hapo laki 7 alafu bado Makati yote plus mikopo Ile??
Kwa hiyo unaunga mkono kitendo cha afisa elimu kumtandika kibao mwalimuWalimu sisi tunapigia kura Magufuli na Ccm
Yule msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Bora nikakusanye lundo la udongo wa dhahabu kwa miezi sita ppm ikosoma point 6 tu napga zangu 80 million duh walimu poleni nataman kulia[emoji24][emoji24][emoji24]Hapo take home laki 4 na makofi juu[emoji23][emoji23]
Mkuu hz ni Sawa na tripu (gari)ngapi hz za lundo?Bora nikakusanye lundo la udongo wa dhahabu kwa miezi sita ppm ikosoma point 6 tu napga zangu 80 million duh walimu poleni nataman kulia[emoji24][emoji24][emoji24]
Hili lundo ni watu wanakuja kusaga kwako mawe wew chamsing uwe na karasha tu mawe wataleta wanasaga na kuoshea kwako wanaacha mabaki (makinikia) mwsho wa siku lundo linakuwa kubwa unaweza peleka maabara kuozesha au ukauza hvo hvo.Mkuu hz ni Sawa na tripu (gari)ngapi hz za lundo?
Yeah Mkuu,naelewa ila niliomba kujua lundo la kutoa pesa hiyo unakua umesomba tripu ngapi za lori kupeleka plantHili lundo ni watu wanakuja kusaga kwako mawe wew chamsing uwe na karasha tu mawe wataleta wanasaga na kuoshea kwako wanaacha mabaki (makinikia) mwsho wa siku lundo linakuwa kubwa unaweza peleka maabara kuozesha au ukauza hvo hvo.
Tripu sio makadirio kinachoangaliwa ni ppm tu unaweza ukawa na tripu 7 tu lakin ppm inasoma 8 tu ukapga pay ndefuYeah Mkuu,naelewa ila niliomba kujua lundo la kutoa pesa hiyo unakua umesomba tripu ngapi za lori kupeleka plant
Sawa ila swali lilikua kwa ppm 6 ukapata pay ile ni sawa na tripu ngapi,,anyway ahsanteTripu sio makadirio kinachoangaliwa ni ppm tu unaweza ukawa na tripu 7 tu lakin ppm inasoma 8 tu ukapga pay ndefu