Afisa Elimu Wilaya ya Chamwino ampiga makofi mwalimu hadharani kwa kuchelewa semina

Afisa Elimu Wilaya ya Chamwino ampiga makofi mwalimu hadharani kwa kuchelewa semina

Walimu wengi ni waoga na wanakubali uonevu hata kama wanajua wanaonewa
 
Hivi walimu mbona serikali ya CCM inawachezea Sana? Kila baada ya miaka kumi mnadhalipishwa kwa kunaswa makofi.

Mishahara hakuongezwi, mikutano ya CCM mnalazimishwa kuhudhuria, makofi mnapigwa kwa kisingizio cha 'hapa kazi tu.'

Kwa kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi nyote kwa pamoja semeni NO to CCM

Dah hiyo bahati huwa siipati. Tungegawana majengo ya serikali yeye muchwari Mimi magereza. Siiombi itokee
 
Hivi walimu mbona serikali ya CCM inawachezea Sana? Kila baada ya miaka kumi mnadhalipishwa kwa kunaswa makofi.

Mishahara hakuongezwi, mikutano ya CCM mnalazimishwa kuhudhuria, makofi mnapigwa kwa kisingizio cha 'hapa kazi tu.'

Kwa kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi nyote kwa pamoja semeni NO to CCM

duh
 
Walimu wakipewa 80k ya seminar plus ubwabwa na nyama choma watamsaidia Jiwe kuiba kura huku wakisahau mateso ya miaka 5 .
Hakuna mtumishi wa umma mwenye mabosi wengi Tanzania hii kama mwalimu.
Hawa jamaa (walimu) huwa wasahaulifu Sana.
 
Sijui ingekuwaje. Afisa elimu angeandika na kitabu chenye kichwa cha habari "SIKU NILIYOPIGWA NA JESHI LA MTU MMOJA"[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Hizi kazi zisizo na usaili ndio shida yake zinachukuliwa Kama feva kwao ndio maana wananyanyasika na hawana Cha kufanya,sijawahi ona watumishi wengine tofauti na walimu
 
Hao mazuzu waache wapigwe tu. Hawajitambui.
Mwanaume mzima naanzaje kupigwa vibao?
 
Huyo mwalimu aliyepigwa ni boya kweli kweli!!! Yani hata Kama ww ni boss wangu ndo uje unitandike makofi kweli!!!na home unaenda mwambia nn mke na wanao ..naapa ingekua ni mm ningempiga ndoo 1 nimng'oe huyo afsa elimu meno yote ya mbele eboo.
 
Haijalishi ni maisha magumu kiasi gani niliyonayo au ni mzigo gani ninao nyuma yangu ila afisa elimu ukinichapa kofi kwa jinsi nmninavyojijua au nitakufanyia kitu ambacho itakuwa ni fundisho kwa wengine.
 
Hivi walimu mbona serikali ya CCM inawachezea Sana? Kila baada ya miaka kumi mnadhalipishwa kwa kunaswa makofi.

Mishahara hamuongezewi, mikutano ya CCM mnalazimishwa kuhudhuria, makofi mnapigwa kwa kisingizio cha 'hapa kazi tu.'

Kwa kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi nyote kwa pamoja semeni NO to CCM

Daaa
 
Utajiri sio rahisi hivyo.Ungekuwa umeshatajirika zamani.
Hili lundo ni watu wanakuja kusaga kwako mawe wew chamsing uwe na karasha tu mawe wataleta wanasaga na kuoshea kwako wanaacha mabaki (makinikia) mwsho wa siku lundo linakuwa kubwa unaweza peleka maabara kuozesha au ukauza hvo hvo.
 
Ktk maisha yangu sijawai waza kuhusu ualimu, bora nisiwe na ajira khaaaah.
Eeeh Jah wahurumie wakufunzi hswa na uwape maono ya kujitambua binafsi.
So [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom