Afisa Habari Simba Matatani kwa Kauli Chafu

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Baadhi ya Wanahabari na Wachambuzi wa Soka nchini wamemtaka Afisa Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally kuomba radhi kufuatia kauli yake ya kusema "Yanga ni kama maiti hivyo wanakwenda kuwakamua" kauli hiyo imevuka mipaka ya utani wa jadi na ni kinyume na ueledi na ni tusi baya.
8A22B7A8-8A61-4669-BF63-C876421FD4F2.jpeg
 
MAITI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Baadhi ya Wanahabari na Wachambuzi wa Soka nchini wamemtaka Afisa Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally kuomba radhi kufuatia kauli yake ya kusema "Yanga ni kama maiti hivyo wanakwenda kuwakamua" kauli hiyo imevuka mipaka ya utani wa jadi na ni kinyume na ueledi na ni tusi baya.View attachment 2588317
Huyu dogo anajisahau kinoma anadhani simba ni ya baba yake.
 
Binafsi sijashabgazwa na chochote katika kauli hiyo. Si huyu Ahmed Ally wala Ally Kamwe unaeweza kumchumulia seriously kama Msemaji. Zaidi nawaona kama wahamasishaji zaidi na ndio maana wanaongea kama maMC. Msemaji wa Taasisi ndio nembo yake kimaneno na kimaandishi, lakini hawa waimba taarabu hawana hiyo Kariba.
 
Usimfananishe Ally Kamwe na huyo mjinga Ahmed Ally. Simba ni genge la wahuni tu na ndio maana kila mmoja anafanya uhuni.

Mo msanii, unategemea nini kwa Ahmed Ally?
 
Binafsi sijashabgazwa na chochote katika kauli hiyo. Si huyu Ahmed Ally wala Ally Kamwe unaeweza kumchumulia seriously kama Msemaji. Zaidi nawaona kama wahamasishaji zaidi na ndio maana wanaongea kama maMC. Msemaji wa Taasisi ndio nembo yake kimaneno na kimaandishi, lakini hawa waimba taarabu hawana hiyo Kariba.
Ally Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) Siku ambapo Simba SC ilifungwa na Raja Casablanca FC Goli 3 kwa 0 ( tena akiwa Clouds FM Kipindi cha Sports Extra ) Studioni akiwepo Mtangazaji mwana Yanga SC Prisca Kishamba na Mchambuzi mwana Simba SC Master Tindwa alitudhihaki wana Simba SC kuwa Tumebikiriwa na Mwarabu kwa Mkapa huku akisema kuwa Yanga SC ndiyo Wanamume wa Soka na Wengine ni Wamama tu.

Mbona GENTAMYCINE sikuwasikieni Wapumbavu na Wanafiki kutoka Jangwani mkiikemea hiyo Kauli ya Msemaji wenu Mrembuaji wa Macho, Mlamba Mdomo na mbana Pua Ali Kamwe?

Kuna Mechi Mbili za Simba na Yanga zilizopita ( ambazo zote Simba SC ) ilifungwa na Yanga SC Mashabiki wa Yanga SC walionekana wakiwa Wamebeba mfano wa Jeneza lililopambwa na Bendera ya Simba SC wakimaanisha Simba SC ndiyo Maiti na anaenda Kuzikwa. Mbona Wapumbavu na Wanafiki kutoka Jangwani hamkujitokeza Kulikemea hili?

Naungana na Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ( tena kwa 100% ) kwa kusema kuwa Simba SC Kesho Jumapili tarehe 16, April 2023 inaenda Kumkafini Mtu ( akimaanisha Yanga SC ) na kwamba Yanga SC ni sawa na Maiti ambayo Kesho inaenda Kuoshwa kabla ya Kuzikwa / Mazishi.

Kwa Taarifa yenu tu Watoto ( Vijana ) wa Siku hizi na Ushamba wenu Uliowatukuka ni kwamba Utani baina ya Vilabu vya Simba na Yanga ni wa Kawaida na wa muda mrefu tena kwa Sisi Wakongwe ( akina GENTAMYCINE ) tunaona miaka ya Siku hizi hakuna Utani na Umepungua mno.

Na kama Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ataadhibiwa kwa Kauli hii nitathibitisha Utaahaira na Upumbavu wa hao Watakaomudhibu na Nitawadharau hakuna mfano.

Alichokifanya Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ( ambaye upande mwingine ni Chief Propagandist wa Klabu ) na hata Kitasnia inaruhusiwa ni Kunogesha Tukio, Kuamsha Hisia, Kuchangamsha na inasaidia pia Kuhamasisha Watu kujaa ( kwenda ) Uwanjani hivyo GENTAMYCINE kama Mbobezi Tukuka wa Mass Communication ( nikiwa Mngwena hasa katika Print na PR ) nampongeza sana na mno Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kwa hiyo Kauli yake.

Na tena anastahili hadi Tuzo kama ambayo GENTAMYCINE nilipata hapa JamiiForums kwa kuwa Mshindi Bora ( wa Jumla ) wa Jukwaa hili la Michezo ( Sports ) kwa mwaka 2022 nikiwashinda waliodhani ni Magwiji Kiuchambuzi na kuleta Habari za Michezo hapa JamiiForums ( akina Greatest Of All Time akisaidiwa na Chama Baleke zamani OKW BOBAN SUNZU ) wakatia Tukuka Mwenyewe nipo.

Ushindi Wenu Yanga SC Kesho Jumapili tarehe 16 April, 2023 kwa Simba SC ni Suluhu ( 0 - 0 ) au Sare ( ya Magoli ) ila Kufungwa na Simba SC Kesho ni lazima kwa 99.999999%.

Hamna Akili mno Wanafiki wakubwa.
 
Maelezo mengi! Halafu ni pumba tu.
 
Baadhi ya Wanahabari na Wachambuzi wa Soka nchini wamemtaka Afisa Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally kuomba radhi kufuatia kauli yake ya kusema "Yanga ni kama maiti hivyo wanakwenda kuwakamua" kauli hiyo imevuka mipaka ya utani wa jadi na ni kinyume na ueledi na ni tusi baya.View attachment 2588317
Ahmed Ally ajengewe mnara pale Msimbazi kwa kauli kuntu hii. Aliyechukia anywe sumu afe, watopolo mna nongwa za kishamba sana.
 
Back
Top Bottom