Afisa Habari Simba Matatani kwa Kauli Chafu

Afisa Habari Simba Matatani kwa Kauli Chafu

Mdomo utaponza kichwa as always. Sema huyu boya lazima awe na hasira sana na Yanga maana toka awe msemaji wa makolo kusanyiko lake la wahuni halijawahi kupata ushindi kwa wananchi.
 
Baadhi ya Wanahabari na Wachambuzi wa Soka nchini wamemtaka Afisa Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally kuomba radhi kufuatia kauli yake ya kusema "Yanga ni kama maiti hivyo wanakwenda kuwakamua" kauli hiyo imevuka mipaka ya utani wa jadi na ni kinyume na ueledi na ni tusi baya.View attachment 2588317

Kuna Mwandishi ameshakuwa matatani kwa kusema ‘Kupiga Bomu Mochwari’?

Hao baadhi ya Waandishi ni kutoka Chombo gani cha Habari? Kwa sababu hata Mzungu Pori anayo media na ina waandishi!
 
Kaingilia uhuru wa maiti (faragha) ya kiislam

Mchungaji ,hananja husema chipsi zote hukamuliwa
 
Ni kauli Bora ya karne maana ukitukana mamba kabla hujavuka mto ukiingia tu kwenye maji umekwisha! Lazima akutafune!

Kauli hii itamrudia yeye mwenyewe Ahmed Kesho inshallah!

Tukutane kwa Mkapa Kesho inshallah tutajua nani maiti nani muoshaji!

My take
waandishi wa habari mkae na Ahmed beneti mechi ikiisha atuambie nani maiti kati ya Simba au Yanga!
 
Wakati wote huwa nawachukulia Yanga kwa ujumla wao ni wapumbavu sana... hakuna mwenye akili kule...
 
Back
Top Bottom