Afisa habari wa Klabu ya Yanga, Dismas Ten ajiuzulu nafasi yake

Status
Not open for further replies.
Ndo tunaona faida ya chuki kwa Manji, wakati mwingine unaweza kudhani unamkomoa mtu mmoja kumbe unaiathiri jamii kubwa! Tuache figisu kwa wenye hela hata kama sisi tulizaliwa na kukulia kwenye umasikini
 
Ndo tunaona faida ya chuki kwa Manji, wakati mwingine unaweza kudhani unamkomoa mtu mmoja kumbe unaiathiri jamii kubwa! Tuache figisu kwa wenye hela hata kama sisi tulizaliwa na kukulia kwenye umasikini
CC :The Great Stone!
 

Mkuu kwa uongozi upi..? Tatizo viongozi wote unaowaona kwenye hivi vilabu viwili, wako kimaslahi zaidi kuliko maslahi ya vilabu.. Ukitaka kukosa uongozi kwenye vilabu hivyo, onyesha msimamo wako toka mwanzo, kwamba uko kimaendeleo ya klabu zaid, kuliko maslahi binafsi, uone kama utavuka hata viunzi vya mwanzo..
 
Hawa jamaa ndo wameipoteza kabisa timu yetu, nawalaani kabisa
 
Ndo tunaona faida ya chuki kwa Manji, wakati mwingine unaweza kudhani unamkomoa mtu mmoja kumbe unaiathiri jamii kubwa! Tuache figisu kwa wenye hela hata kama sisi tulizaliwa na kukulia kwenye umasikini
ukisikia fikra mfu ndiyo hizi, manji ndiyo aliyoleta matatizo yote haya, hakujenga misingi ya timu kujitegemea, angekuwa na lengo zuri kwa yanga angeiwekea account ambayo ingeisaidia club pindi asipokuwepo. alikuwa akiitumia yabga kujipa kick na kupromote makampuni yake. [HASHTAG]#huo[/HASHTAG] ndiyo ukweli.
 
Mbona Mkinga yule Afya yake ni imara sana? Tatizo viongozi wanamwogopa sana Sanga.
 
Club ipo tangu 1930's unakuja kumlaumu mtu ambaye kaanza kujihusisha nayo kwenye 2000's, alifanya kulingana na alichoweza na maisha yalikuwa matam klabuni, wanachama mnachojua ni kulalamika bila hata shilingi yoyote kuisaidia klabu, aya Manji kajitoa isaidieni timu yenu sio kuandamana nyumbani kwake kumlilia
 
ACH kupost kwa mihemko...responsibility ya kiongoz ni kutoa hela yake ya mfukon au kutengeneza sustainable infrastructures ambazo zitasaidia club in short term and long term!?....ok powa..kaisaidia yanga sawa...kaicha wapi yanga sasa! this is worst leadership ever yanga kupitia.
 
Tuwekee mtirirko wa uongozi/wafadhili wa Yanga na utwambie waliiachaje Yanga ambayo ina struggle kwa sasa, au Manji ndo mwenyekiti wa kwanza?? Unawafahamu kina Tarimba Abas, Gulamali, Mwakipesile, Castle Mpondela, Malinzi???? We ndo uache mihemko, jadili hoja
 
Dismas Ten bado ni Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Yanga...Hajajiuzulu...Bado yupo sana..
 
sasa point yako ya msingi ni ipi kama ushakubaliana na mimi kuwa yanga haijawah kuwa na kiongoz wa kupeleka team mbele rather than the same old sh**t! me siyo mwanachama wala mshabiki wa yanga ila napenda mpira wa bongo uendelee...na maendeleo hayaji kwa kujaribu kutatua tatizo kwa kutumia njia zilezile zilizosababisha tatizo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…