Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahahahahJangwani kuna nini ?
Timu na Sekondari ?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yanga itashuka daraja 2018/2019
CC :The Great Stone!Ndo tunaona faida ya chuki kwa Manji, wakati mwingine unaweza kudhani unamkomoa mtu mmoja kumbe unaiathiri jamii kubwa! Tuache figisu kwa wenye hela hata kama sisi tulizaliwa na kukulia kwenye umasikini
Nilikuwa na wazo. Hizi washabiki na wapenzi wa Dar Young Afrika hawawezi kufikia mil 5. Kama kila mmoja akichangia sh 10,000 makusanyo yatakuwa 50 Bilioni. Hizo pesa zikiwekwa kwenye fixed deposit ya 8% kwa mwaka, ina maana timu itakuwa inapata mgao wa milliob 330 kwa mwezi.
Kwa pesa hizo sifikirii kama timu itashindwa kujiendesha.
Yanga Daima.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]CC :The Great Stone!
ukisikia fikra mfu ndiyo hizi, manji ndiyo aliyoleta matatizo yote haya, hakujenga misingi ya timu kujitegemea, angekuwa na lengo zuri kwa yanga angeiwekea account ambayo ingeisaidia club pindi asipokuwepo. alikuwa akiitumia yabga kujipa kick na kupromote makampuni yake. [HASHTAG]#huo[/HASHTAG] ndiyo ukweli.Ndo tunaona faida ya chuki kwa Manji, wakati mwingine unaweza kudhani unamkomoa mtu mmoja kumbe unaiathiri jamii kubwa! Tuache figisu kwa wenye hela hata kama sisi tulizaliwa na kukulia kwenye umasikini
Thubutu, ni rahisi ccm kutoka madarakani kwa sanduku la kura ila siyo hilo, labda tff ivunjwe, timu imeleta uhuru, unaanzaje kuishusha daraja?Yanga itashuka daraja 2018/2019
TFF ndiyo inashusha timu daraja?Thubutu, ni rahisi ccm kutoka madarakani kwa sanduku la kura ila siyo hilo, labda tff ivunjwe, timu imeleta uhuru, unaanzaje kuishusha daraja?
Club ipo tangu 1930's unakuja kumlaumu mtu ambaye kaanza kujihusisha nayo kwenye 2000's, alifanya kulingana na alichoweza na maisha yalikuwa matam klabuni, wanachama mnachojua ni kulalamika bila hata shilingi yoyote kuisaidia klabu, aya Manji kajitoa isaidieni timu yenu sio kuandamana nyumbani kwake kumliliaukisikia fikra mfu ndiyo hizi, manji ndiyo aliyoleta matatizo yote haya, hakujenga misingi ya timu kujitegemea, angekuwa na lengo zuri kwa yanga angeiwekea account ambayo ingeisaidia club pindi asipokuwepo. alikuwa akiitumia yabga kujipa kick na kupromote makampuni yake. [HASHTAG]#huo[/HASHTAG] ndiyo ukweli.
ACH kupost kwa mihemko...responsibility ya kiongoz ni kutoa hela yake ya mfukon au kutengeneza sustainable infrastructures ambazo zitasaidia club in short term and long term!?....ok powa..kaisaidia yanga sawa...kaicha wapi yanga sasa! this is worst leadership ever yanga kupitia.Club ipo tangu 1930's unakuja kumlaumu mtu ambaye kaanza kujihusisha nayo kwenye 2000's, alifanya kulingana na alichoweza na maisha yalikuwa matam klabuni, wanachama mnachojua ni kulalamika bila hata shilingi yoyote kuisaidia klabu, aya Manji kajitoa isaidieni timu yenu sio kuandamana nyumbani kwake kumlilia
Umeelewa content ya comment? Kama hujaelewa nitafafanua, Yanga na Simba ni zaidi ya mpira wa uwanjani, have that in mindTFF ndiyo inashusha timu daraja?
Tuwekee mtirirko wa uongozi/wafadhili wa Yanga na utwambie waliiachaje Yanga ambayo ina struggle kwa sasa, au Manji ndo mwenyekiti wa kwanza?? Unawafahamu kina Tarimba Abas, Gulamali, Mwakipesile, Castle Mpondela, Malinzi???? We ndo uache mihemko, jadili hojaACH kupost kwa mihemko...responsibility ya kiongoz ni kutoa hela yake ya mfukon au kutengeneza sustainable infrastructures ambazo zitasaidia club in short term and long term!?....ok powa..kaisaidia yanga sawa...kaicha wapi yanga sasa! this is worst leadership ever yanga kupitia.
Dismas Ten bado ni Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Yanga...Hajajiuzulu...Bado yupo sana..Afisa habari wa klabu ya Yanga, Dismas Ten naye ameamua kujiuzulu nafasi yake ndani ya Yanga, Ten ameandika barua kwenda kwa Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo akidai kwamba ameamua kujiuzulu kutokana na matatizo ya afya yake.
Dismas amejiuzulu nafasi yake siku mbili baada ya Katibu mkuu wa klabu hiyo Charles Mkwasa kujiuzulu.View attachment 813811
sasa point yako ya msingi ni ipi kama ushakubaliana na mimi kuwa yanga haijawah kuwa na kiongoz wa kupeleka team mbele rather than the same old sh**t! me siyo mwanachama wala mshabiki wa yanga ila napenda mpira wa bongo uendelee...na maendeleo hayaji kwa kujaribu kutatua tatizo kwa kutumia njia zilezile zilizosababisha tatizo.Tuwekee mtirirko wa uongozi/wafadhili wa Yanga na utwambie waliiachaje Yanga ambayo ina struggle kwa sasa, au Manji ndo mwenyekiti wa kwanza?? Unawafahamu kina Tarimba Abas, Gulamali, Mwakipesile, Castle Mpondela, Malinzi???? We ndo uache mihemko, jadili hoja