Afisa habari wa Klabu ya Yanga, Dismas Ten ajiuzulu nafasi yake

Afisa habari wa Klabu ya Yanga, Dismas Ten ajiuzulu nafasi yake

Status
Not open for further replies.
sasa point yako ya msingi ni ipi kama ushakubaliana na mimi kuwa yanga haijawah kuwa na kiongoz wa kupeleka team mbele rather than the same old sh**t! me siyo mwanachama wala mshabiki wa yanga ila napenda mpira wa bongo uendelee...na maendeleo hayaji kwa kujaribu kutatua tatizo kwa kutumia njia zilezile zilizosababisha tatizo.
Rudia ulipoanza kunikuu ndo utaona point yangu, mi pia ni mwanasimba damu ila napenda soka letu liendelee kuwepo, kutukana kwako kunaonyesha kiwango chako cha uvumilivu na ustaarabu, katika kujadiliana, fikiria kama tungekuwa na kiongozi kama wewe anayechoka majadiliano akaanza kutukana!
 
[emoji10] [emoji3] [emoji4] wapi nmetukana mkuu
 
Nilikuwa na wazo. Hizi washabiki na wapenzi wa Dar Young Afrika hawawezi kufikia mil 5. Kama kila mmoja akichangia sh 10,000 makusanyo yatakuwa 50 Bilioni. Hizo pesa zikiwekwa kwenye fixed deposit ya 8% kwa mwaka, ina maana timu itakuwa inapata mgao wa milliob 330 kwa mwezi.

Kwa pesa hizo sifikirii kama timu itashindwa kujiendesha.

Yanga Daima.
anakusanya nani? nichangie elfu 10 wakati toka nizaliwe sijasikia mapato na matumizi yanasomwa
 
Club ipo tangu 1930's unakuja kumlaumu mtu ambaye kaanza kujihusisha nayo kwenye 2000's, alifanya kulingana na alichoweza na maisha yalikuwa matam klabuni, wanachama mnachojua ni kulalamika bila hata shilingi yoyote kuisaidia klabu, aya Manji kajitoa isaidieni timu yenu sio kuandamana nyumbani kwake kumlilia
huwezi kusaidia timu kiholela, watu wanafanya matumizi hovyohovyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom