kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,340
- 12,055
Rudia ulipoanza kunikuu ndo utaona point yangu, mi pia ni mwanasimba damu ila napenda soka letu liendelee kuwepo, kutukana kwako kunaonyesha kiwango chako cha uvumilivu na ustaarabu, katika kujadiliana, fikiria kama tungekuwa na kiongozi kama wewe anayechoka majadiliano akaanza kutukana!sasa point yako ya msingi ni ipi kama ushakubaliana na mimi kuwa yanga haijawah kuwa na kiongoz wa kupeleka team mbele rather than the same old sh**t! me siyo mwanachama wala mshabiki wa yanga ila napenda mpira wa bongo uendelee...na maendeleo hayaji kwa kujaribu kutatua tatizo kwa kutumia njia zilezile zilizosababisha tatizo.