Afisa habari wa Rivers United apigwa fimbo ya kichwa

Kama yule wa kongwa aliyepigwa fimbo ya kichwa daaah hatariiii Sana
 
Haa
Utawasikia Msukule Wao Tumeuchukua
 
Na kwa taarifa nlizopata za ndan kabxa ni kuwa wao washaanza kuchuma fimbo za kutosha...msukule manara hakuna rangi ataacha ona jpil stay tuned
 
manara ajiandae kisaikolojia kwa viboko
Ndiye aliyekuwa ana kosa magoli?manara hata yanga ifanye vibaya hawezi kutoka pale, kwani ana husika nini na matokeo mabaya ya timu?!!Acheni hizo
 
Zeruzeru kacheza ngapi
 
yaani wahuni wa simba wampige afisa habari wa watu alafu wawasingizie yangaa??
 
Ndiye aliyekuwa ana kosa magoli?manara hata yanga ifanye vibaya hawezi kutoka pale, kwani ana husika nini na matokeo mabaya ya timu?!!Acheni hizo
Aliwaambia uto aka makubwa jinga fc kwamba amekuja na ushindi na wakamshangilia, sasa kama hawashindi unategemea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…