Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,889
Hyo match washapigwa tuwaze jinsi ya kuwatahili tareh25
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwamba walichomoa mwiko nyuma wakamtandika nao..!?
Ukaunge chuma kwa super glue [emoji23][emoji1787]Si mwalimu wao ni professor?,aiunge timu sasaaa
Umenifanya nionekana chizi kwa wanangu. Nimecheka hovyo.Mashabiki wanajua tu timu yao imejaa mifugo wanaingia na fimbo kuichunga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The losers always losingUto hawabebeki View attachment 1935191
Sasa we unahisi mpaka msemaji anapigwa na fimbo ni kwannUmenifanya nionekana chizi kwa wanangu. Nimecheka hovyo.
Ndiye aliyekuwa ana kosa magoli?manara hata yanga ifanye vibaya hawezi kutoka pale, kwani ana husika nini na matokeo mabaya ya timu?!!Acheni hizomanara ajiandae kisaikolojia kwa viboko
Zeruzeru kacheza ngapiKwani hata wakifanyiwa ukarimu ndio watakifanya nini[emoji23][emoji1787]
yanga kiukweli ina wachezaji ila timu haijaunga kabisa, Mwalimu inabidi kutumia akili ya ziada.. Ntibazonkiza anahitajika pale juu, fei leo kashindwa kucheza kama namba 10 angerudi chini acheze na mukoko
Majeruhi [emoji23]Zeruzeru kacheza ngapi
Aliwaambia uto aka makubwa jinga fc kwamba amekuja na ushindi na wakamshangilia, sasa kama hawashindi unategemea nini?Ndiye aliyekuwa ana kosa magoli?manara hata yanga ifanye vibaya hawezi kutoka pale, kwani ana husika nini na matokeo mabaya ya timu?!!Acheni hizo