Na kule Zambia Moses anaitwa KapumbuMfungaji wa Rivers anaitwa Moses jina kizungu,kiswahili anajulikama kama Mussa,kiarabu ndo Hamza.
hapa tunazungumzia afisa habar kupigwa, issue ya yanga kufungwa ni kawaida yenu hamna jipyaNdiye aliyekuwa ana kosa magoli?manara hata yanga ifanye vibaya hawezi kutoka pale, kwani ana husika nini na matokeo mabaya ya timu?!!Acheni hizo
Inawezekana ni shabiki wa mikia aliyefanya hivyo ili kuwachafulia wananchi..au inawezekana wanigeria wamejiumiza makusudi kwani ni Nani asiyejua fiksi za wanigeria?Duuh! Uto hawahawa, badala ya kupiga goli kwenye nyavu la rivers wao wanapiga rungu kichwa Cha msemaji?
Ndiyo amejifunza kwa vitendo next time asipende kusikiliza story za vijiweni kuwa tz ni nchi ya amani.Jamaa haamini kama tz ndo nchi ya amani
Inaendeshwa kimalaya malaya fulani hivihii timu inaendeshwa kihuni huni