Mzee wa old school
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 873
- 1,405
Natumai mu wazima,
kuna kipindi niliuliza watu mkakejeli, wengine mkafika mbali mkasema mimi kilaza, haya bana namshtakia Mungu (hapo natamka kwa sauti ya roma mkatoliki "Nipeni maua yangu").
Ni liuliza, naomba kujua AFISA KAZI ni nani, wanajishughulisha na nini hasa na ofisi zao zipo wapi?