Bila reforms βBila reforms kupitia CHADEMA tusahau
cc:Kingai aione kwenye jalada kwa kumbukumbu za maisha.Ninatolewa kafara. Sasa mimi ndiye mshukiwa mkuu wa mauaji ya Albert Ojwang, ingawa sina hatia.
Maafisa wa DCI walipomleta Albert Ojwang katika Kituo Kikuu cha Polisi, alikuwa katika hali mbaya. Alionekana kuteswa. Niliwataka maafisa wa DCI kumpeleka hospitalini kabla ya kumwingiza mahabudu, lakini walikataa wakidai walikuwa wakitekeleza maagizo kutoka juu.
Maafisa wa DCI walimfanyia nini Albert kabla ya kupelekwa seli sijui. Sasa, ninatolewa kafara ili kuwalinda wale ambao kwa hakika walifanya uhalifuβkumlinda βmtu mkubwaβ nyuma yake.
Afisa huyo anasisitiza: Ningekuwa na maslahi gani ya kumuua Albert, ikilinganishwa na wale waliomleta kutoka Homabay? Ninakataa kuwa mbuzi wao wa kafara.~OCS Kituo cha polisi cha Central Samson Taalam
View attachment 3364753
Ndiyo hukutwa wengine visimani wamefwariki.Hata pale kwenye mito mingi, hii ishu ya kudondoshewa jumba bovu hutokea sana ππ
Yeah.. Ni hatari sanaNdiyo hukutwa wengine visimani wamefwariki.
Ninatolewa kafara. Sasa mimi ndiye mshukiwa mkuu wa mauaji ya Albert Ojwang, ingawa sina hatia.
Maafisa wa DCI walipomleta Albert Ojwang katika Kituo Kikuu cha Polisi, alikuwa katika hali mbaya. Alionekana kuteswa. Niliwataka maafisa wa DCI kumpeleka hospitalini kabla ya kumwingiza mahabudu, lakini walikataa wakidai walikuwa wakitekeleza maagizo kutoka juu.
Maafisa wa DCI walimfanyia nini Albert kabla ya kupelekwa seli sijui. Sasa, ninatolewa kafara ili kuwalinda wale ambao kwa hakika walifanya uhalifuβkumlinda βmtu mkubwaβ nyuma yake.
Afisa huyo anasisitiza: Ningekuwa na maslahi gani ya kumuua Albert, ikilinganishwa na wale waliomleta kutoka Homabay? Ninakataa kuwa mbuzi wao wa kafara.~OCS Kituo cha polisi cha Central Samson Taalam
View attachment 3364753
Atachukuliwa mamako, mbwa weAllah ikikupendeza chukua na Uyu mzanzibar
Nawazaaa tuu hiii kama inaweza kutokeaa hapa Tanzania......nawazaa tuuu