Afisa polisi OCS mshukiwa wa kifo cha Albert akana uhusika! Agoma kuwa mbuzi wa kafara

Afisa polisi OCS mshukiwa wa kifo cha Albert akana uhusika! Agoma kuwa mbuzi wa kafara

Brave Gen Z protester removes a police officer’s mask to reveal his identity. The High Court has barred police officers from wearing masks during protests.
1749766430180.jpg
 
Updates:Afisa wa polisi wa Kenya PC James Mukhwana mahakamani akishtakiwa kwa mauaji ya Albert Ojwang’ katika Kituo Kikuu cha Polisi
1749813777401.jpg
 
Huku kwetu nako tutaelewana tu.
Wahusika wanajulikana, polisi nawo binadamu, wanajuwa uchungu wa kupoteza uhai wa mtu.
 
Ninatolewa kafara. Sasa mimi ndiye mshukiwa mkuu wa mauaji ya Albert Ojwang, ingawa sina hatia.
Maafisa wa DCI walipomleta Albert Ojwang katika Kituo Kikuu cha Polisi, alikuwa katika hali mbaya. Alionekana kuteswa. Niliwataka maafisa wa DCI kumpeleka hospitalini kabla ya kumwingiza mahabudu, lakini walikataa wakidai walikuwa wakitekeleza maagizo kutoka juu.

Maafisa wa DCI walimfanyia nini Albert kabla ya kupelekwa seli sijui. Sasa, ninatolewa kafara ili kuwalinda wale ambao kwa hakika walifanya uhalifu—kumlinda ‘mtu mkubwa’ nyuma yake.
Afisa huyo anasisitiza: Ningekuwa na maslahi gani ya kumuua Albert, ikilinganishwa na wale waliomleta kutoka Homabay? Ninakataa kuwa mbuzi wao wa kafara.~OCS Kituo cha polisi cha Central Samson Taalam
View attachment 3364753
Siku ya kifo cha nyani miti yote hutereza.

Wameuwa wangapi waovu hawa, akiwamo huyu?

Kwani Ile hadithi ya kujigonga marehemu ukutani huyu hakuwa sehemu yake?
Tatizo aliunga mkono uongo mwazo maana waljua watafaulu kuuhadaa umma bahati mbaya mambo yamebumbuluka kesi inamlalia yeye maana si ndiye mtoa taarifa kwamba jamaa alijigonga ukutani

Pole sana ,ndiyo maana nachukia kuajiriwa
 
Tatizo aliunga mkono uongo mwazo maana waljua watafaulu kuuhadaa umma bahati mbaya mambo yamebumbuluka kesi inamlalia yeye maana si ndiye mtoa taarifa kwamba jamaa alijigonga ukutani

Pole sana ,ndiyo maana nachukia kuajiriwa

Kakumbuka shuka kumekucha. Ndivyo wanavyo wabambikiza kesi wengine. Hapo dawa yake naye amwage mboga na kutoa siri zote Hadi za kina Kibao huku.

Kwamba imeshakuwa mbwai, asife peke yake.

Akicheza huyu yatamkuta kama waliyomfanyia Ojwang. Mashweitwani huwa hayana dini.

Maslahi yao tu!
 
*UPDATES ON ALBERT OJWANG

CENTRAL POLICE OCS, Samson Tallam and his juniors at the station have refused to be sacrificed by their higher-ups.

A stamped duty roaster on the night that Albert Ojwang was k!lled has been leaked.

Apparently, the cell sentry on that night was James Mukhwana and Leonard Kiprotich. Their shift started at 6 am and ended at 6 pm. Mukhwana was arrested.

This now properly exonerates Mukhwana, despite the PR arrest that was made.

Remember too, the statement that the DCI Boss gave on the time that Albert was "booked"? At night! Mukhwana was not on duty.

Then that expose by The Star, Kenya, which explained clear details, including how Albert Ojwang was first taken to Karura where he was t0rtured and later dumped at Central.
People have refused to go down alone.

Bwana these guys have even leaked their Central Police Stations WhatsApp group's conversations to the public and bloggers.
Cc Aoko
#EndToImperialismRule
#WanTamItIs
#GoodAfternoonCousinsInlaws.
1749908070812.jpg
 
GRAPEVINE: Information currently running on X says that Central Police Station's OCS, Samson Talaam was speaking the truth, as per what he recorded with IPOA. He was not present the night Albert Ojwang was mūrdered.

He was at Kabunde Pub (Wilson Airport) in the company of a lady called Mercy ( allegedly works with KRA). The lady has been his close lover for a substantial period, and this day, Talaam left the station at 8 pm and headed to Wilson in the company of Mercy.

At around 9:30 p.m., he received a call from a person identifying himself as Sigei, telling him that they had brought in a suspect, and Talaam told him that he had left the station to his deputy, Ng'ang'a.

Later at 3 am that night, deputy OCS called Talaam, informing him that things had gone haywire, and that was the time that he left Kabunde Pub, dropped the lady and headed to the station.

Talaam has refused to be sacrificed, and while at it, reports have it that the CCTV footages on his activities at the club will speak for him.

Wueh!
1749922487558.jpg
 
 
Insider Scoop on the Albert Ojwang Case

Rumors currently circulating on X suggest that Central Police Station’s OCS, Samson Talaam, may have been telling the truth in his statement to IPOA—he was not at the station on the night Albert Ojwang was murdered.

According to emerging information, Talaam was at Kabunde Pub near Wilson Airport, accompanied by a woman named Mercy, who is allegedly a KRA staff member and his long-time romantic partner. Sources indicate that Talaam left the station around 8:00 PM that evening and headed to Wilson with Mercy.

At approximately 9:30 PM, Talaam reportedly received a call from someone identifying himself as Sigei, informing him that a suspect had been brought in. Talaam is said to have responded that he was away and had left the station under the charge of his deputy, Ng’ang’a.

It wasn’t until after 1:00 AM that Talaam received another call—this time from his deputy—alerting him that things had gone terribly wrong at the station. That’s when he left the club, dropped Mercy off, and rushed back.

Interestingly, Talaam has since refused to be the sacrificial lamb in this case. And word on the street is that CCTV footage from Kabunde Pub may support his alibi.

Wueh! The plot thickens.

Stay tuned.
1749934327045.jpg
 
Back
Top Bottom