Afisa polisi OCS mshukiwa wa kifo cha Albert akana uhusika! Agoma kuwa mbuzi wa kafara

Afisa polisi OCS mshukiwa wa kifo cha Albert akana uhusika! Agoma kuwa mbuzi wa kafara

“Don’t Wait for Me” Live for Me— A Poem from Albert Ojwang
To my headteacher,

Please gather them all — under that crooked mango tree,
Where morning sun once kissed our dreams,
And tell them gently…
Don’t wait for me.

Let the bell ring, let the lessons begin,
Let the chalk dust dance in that familiar wind.
Let no desk stay empty,
Let no eyes look behind —
For I have walked a path
That ends before the line.

Tell them my books lie still,
My pen forever paused mid-word,
But their stories must be written —
Let every breath be heard.

Tell Achieng to keep sketching hope in her notebook.
Tell Kiprotich to still chase the finish line,
Tell them I did not choose this silence —
But they still hold time.

When my name is called,
Let them bow heads, not hearts.
Let the tears fall —
But only for a moment, then part.
Because if justice sleeps,
Let truth scream louder.
And if fear rises,
Let courage tower
Tell them I’m not in the grave,
Not really —
I’m in every step they take boldly.
So, headteacher… please say:
Don’t wait for me.
Live for me.
1749699997454.jpg
 
Ninatolewa kafara. Sasa mimi ndiye mshukiwa mkuu wa mauaji ya Albert Ojwang, ingawa sina hatia.
Maafisa wa DCI walipomleta Albert Ojwang katika Kituo Kikuu cha Polisi, alikuwa katika hali mbaya. Alionekana kuteswa. Niliwataka maafisa wa DCI kumpeleka hospitalini kabla ya kumwingiza mahabudu, lakini walikataa wakidai walikuwa wakitekeleza maagizo kutoka juu.

Maafisa wa DCI walimfanyia nini Albert kabla ya kupelekwa seli sijui. Sasa, ninatolewa kafara ili kuwalinda wale ambao kwa hakika walifanya uhalifu—kumlinda ‘mtu mkubwa’ nyuma yake.
Afisa huyo anasisitiza: Ningekuwa na maslahi gani ya kumuua Albert, ikilinganishwa na wale waliomleta kutoka Homabay? Ninakataa kuwa mbuzi wao wa kafara.~OCS Kituo cha polisi cha Central Samson Taalam
View attachment 3364753
Nimeifwatilia hili sakata nimeshindwa kujua Polisi wa Kenya wanauwazi kuliko wa kwetu. nimewaza sana mtani nimekosa jibu, kuna mahala watu walikataa hatuna cha kujifunza Kenya lakini bado tunacho cha kujifunza. Hata Bungeni kwao walilijadili kwa dharura tena kwa uwazi kabisa.
 
Kenya wametuacha mbali sana kuhusu haki.Kwa Tanzania watu wanauliwa na polisi lakini hakuna polisi yeyote anayewajibika.mfano mdude anachukuliwa na polisi mbele ya mke wake au mzee kibao kukamatwa na polisi ndani ya basi lenye abiria wengi wakishuhudia akikamatwa Kwa kibao na kesho yake kuuawa na hakuna uwajibikaji wowote Kwa serikali.Angekuwa Abdul katolewa macho wangekaa kimya?
 
Nimeifwatilia hili sakata nimeshindwa kujua Polisi wa Kenya wanauwazi kuliko wa kwetu. nimewaza sana mtani nimekosa jibu, kuna mahala watu walikataa hatuna cha kujifunza Kenya lakini bado tunacho cha kujifunza. Hata Bungeni kwao walilijadili kwa dharura tena kwa uwazi kabisa.
Aliyesema hatuna la kujifunza ukifuatilia elimu yake ni darasa la saba.Upeo mdogo wa elimu yake ulimfanya aone hakuna Cha kujifunza kitu ambacho siyo kweli
 
Updates

Nairobi Governor Johnson Sakaja hosted the family of the late teacher Albert Ojwang including his parents, widow, and young son to offer his condolences.

During the meeting, the Governor pledged comprehensive support, including covering burial expenses, providing for the child’s education, and assisting with future job placement for the widow.
1749712066257.jpg
 
Back
Top Bottom