Toka Saa tano...mpaka muda huu hapakaliki...! Sina hakika kama usiku paweza kutulia Giza likiingia. Vijana hawatishiki na na Mabomu ya machozi ...!Nilikuwa huko asubuhi lakini palikuwa bado hapajaharibika
Ameshatangulia Mbele Ya HakiHivi yupo huyu Mzee?