TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Huyu alishawahi kuleta Uzi humu akisema lesbianism inamtesa,lakini sasa anajitia ujasiri feki
Kwahiyo ulitaka alie? Kuna ubaya mtu kueleza hisia zake?

Unataka apige magoti na kurarua mavazi yake kama wayahudi? Acha ujinga wewe!

Kila mtu ana changamoto zake, acha kujitia kidedea kwenye kushabikia matatizo ya watu.
 
Wewe huoni hatari ya kauli za serikali za kuchochea chuki dhidi ya mashoga?

Mtu mbaya anaweza kupitia humo humo kwenye ushoga kukamilisha adhma yake!

Anajua jamii itamhukumu marehemu kwa usagaji na hivyo yeye atakuwa kapata cover la kujifichia.
 
Siku nitakayokuwa mtakatifu ndio siku nitakayotoa hukumu kwa wenzangu,kwa hizi dhambi zangu nilizonazo sina uwezo wa kutoa hukumu wala kupiga mwizi
Wahuni wanajifanya wanahukumu balaa.

Sasa huyu dada kawakosea nini? Mtu ana maisha yake, hali cha mtu, haibi cha mtu lakini unakuta kuna majitu yamemkamia yanataka kumtoa roho kisa tu anasagana!

Usagaji wake una athari gani?
 
Hakuna cha majambazi wala nini! Huyu demu alikuwa akisimama na demu mwenzake anamcontain asilimia 100 na lazima amle siku hiyo hiyo..Demu lilikuwa halilazi damu hili. Mwaka 2016 niliwahi kupata story zake yani kipindi hicho alikuwa amewala mademu wengi na wakali kuliko mimi shababi. Kuna mnyarwanda mmoja nilikuwa namnyatia alikuwa na mzigo halafu White siku moja namkuta kwa hili lisagaji kavaa khanga huku lisagaji likiwa limevaa pensi wamekaa wanakula ugali kwa mtindi aiseee huyu demu nilimvulia kofia. Inawezekana kabisa wana waliomuua watakuwa wamechapiwa na tomboy wakaona isiwe kesi! Mwana alikuwa mwingi yani anakupokonya live huku unaona akimpenda tu mtu wako wafwaaa.
 
Cheo chake ndio mambo ya manunuzi na tenda hafu mgodini manunuzi pesa ndefu ma crushers, milling machines au dumpers. Usikute chanzo ni pesa na deals.
Umewaza kama kama Mimi mkuu!!, wengi wanakimbilia kwenye usagaji but kwa cheo chake utakuta kamnyima mtu deal au kazulumu hela za deal na kazi hajatoa ,wahuni wameishi naye!!
 
Hakuna kitu kinaweza kufanywa na mwanamke kwa mwanamke mwenzie, mwanaume ashindwe kufanya.

Tena mwanaume ana ziada, ana dushe, ana physical muscles, ana nguvu za mwili na ana sauti ya kiume!
Sasa kama ndo hivyo mbona Kuna mwamba hapo deeppoud anasema mkeo au mpenzi wako akiingia mikononi mwa msagaji andika maumivu? Yaani anatekwa maxima ?
 
Kwahiyo mnajitapa kuua watu?
 
Wahuni wanajifanya wanahukumu balaa.

Sasa huyu dada kawakosea nini? Mtu ana maisha yake, hali cha mtu, haibi cha mtu lakini unakuta kuna majitu yamemkamia yanataka kumtoa roho kisa tu anasagana!

Usagaji wake una athari gani?
Kuna wezi humu,Kuna wanaotembea na wake za humu,kuna wanaoingilia wanawake kinyume na maumbile humu,kuna waliouwa humu lakini leo ndio wanatoa hukumu kwa wengine
 
Kuna wezi humu,Kuna wanaotembea na wake za humu,kuna wanaoingilia wanawake kinyume na maumbile humu,kuna waliouwa humu lakini leo ndio wanatoa hukumu kwa wengine
Mhh, hawa binadamu wanatisha.

Na kuna mmoja humu ni ASKOFU WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA na yeye anashabikia mauaji [emoji50]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…