TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Huyu alishawahi kuleta Uzi humu akisema lesbianism inamtesa,lakini sasa anajitia ujasiri feki
Kwahiyo ulitaka alie? Kuna ubaya mtu kueleza hisia zake?

Unataka apige magoti na kurarua mavazi yake kama wayahudi? Acha ujinga wewe!

Kila mtu ana changamoto zake, acha kujitia kidedea kwenye kushabikia matatizo ya watu.
 
catherinekahabi_ck

Hili ndio eneo la Tukio yaani Nyumba ya Marehemu
KEMILEMBE FACTS ARE:- Inasemekana alikuwa akiishi Hotelini baada ya kupangisha Nyumba yake so Akawa anaendelea na ujenzi wa hii Nyumba yake mpya(Mauwaji ya kutisha yalipofanyikia)
...Majira ya Asubuhi sana inasemekana alipigiwa simu
ikimtaka aende Site haraka kuna ishu
…..hapakuwa mbali na
Hoteli alipokuwa akiishi
..alipofika Site akavutwa ndani na
Watu Wasiojulikana walioanza kumkata kata Vipande
mpaka Wakamuua …...Baadaye Mafundi walipofika
wakaanza kupiga kelele kuita Wanachi Majirani ...chanzo
cha Mauaji hayo ya Kutisha kwa DADA ALIYEKUWA
MSAGAJI bado hazijajulikana, yawezekana labda ni Majambazi au Adui zake,Puuzeni Taarifa zinazosambazwa na Baadhi ya Mashoga kuwa Serikali imeruhusu Wananchi wawaue Wasagaji na mashoga Hadharani, Tunaliamini Jeshi la Polisi litafanya kazi yake stahiki! Watanzania Tuwe na subira lakini tuendelee kupinga ushoga na usagaji​

Wewe huoni hatari ya kauli za serikali za kuchochea chuki dhidi ya mashoga?

Mtu mbaya anaweza kupitia humo humo kwenye ushoga kukamilisha adhma yake!

Anajua jamii itamhukumu marehemu kwa usagaji na hivyo yeye atakuwa kapata cover la kujifichia.
 
Siku nitakayokuwa mtakatifu ndio siku nitakayotoa hukumu kwa wenzangu,kwa hizi dhambi zangu nilizonazo sina uwezo wa kutoa hukumu wala kupiga mwizi
Wahuni wanajifanya wanahukumu balaa.

Sasa huyu dada kawakosea nini? Mtu ana maisha yake, hali cha mtu, haibi cha mtu lakini unakuta kuna majitu yamemkamia yanataka kumtoa roho kisa tu anasagana!

Usagaji wake una athari gani?
 
catherinekahabi_ck

Hili ndio eneo la Tukio yaani Nyumba ya Marehemu​

KEMILEMBE FACTS ARE:- Inasemekana alikuwa akiishi Hotelini baada ya kupangisha Nyumba yake so Akawa anaendelea na ujenzi wa hii Nyumba yake mpya(Mauwaji ya kutisha yalipofanyikia)​

...Majira ya Asubuhi sana inasemekana alipigiwa simu​

ikimtaka aende Site haraka kuna ishu​

…..hapakuwa mbali na​

Hoteli alipokuwa akiishi​

..alipofika Site akavutwa ndani na​

Watu Wasiojulikana walioanza kumkata kata Vipande​

mpaka Wakamuua …...Baadaye Mafundi walipofika​

wakaanza kupiga kelele kuita Wanachi Majirani ...chanzo​

cha Mauaji hayo ya Kutisha kwa DADA ALIYEKUWA​

MSAGAJI bado hazijajulikana, yawezekana labda ni Majambazi au Adui zake,Puuzeni Taarifa zinazosambazwa na Baadhi ya Mashoga kuwa Serikali imeruhusu Wananchi wawaue Wasagaji na mashoga Hadharani, Tunaliamini Jeshi la Polisi litafanya kazi yake stahiki! Watanzania Tuwe na subira lakini tuendelee kupinga ushoga na usagaji​

Hakuna cha majambazi wala nini! Huyu demu alikuwa akisimama na demu mwenzake anamcontain asilimia 100 na lazima amle siku hiyo hiyo..Demu lilikuwa halilazi damu hili. Mwaka 2016 niliwahi kupata story zake yani kipindi hicho alikuwa amewala mademu wengi na wakali kuliko mimi shababi. Kuna mnyarwanda mmoja nilikuwa namnyatia alikuwa na mzigo halafu White siku moja namkuta kwa hili lisagaji kavaa khanga huku lisagaji likiwa limevaa pensi wamekaa wanakula ugali kwa mtindi aiseee huyu demu nilimvulia kofia. Inawezekana kabisa wana waliomuua watakuwa wamechapiwa na tomboy wakaona isiwe kesi! Mwana alikuwa mwingi yani anakupokonya live huku unaona akimpenda tu mtu wako wafwaaa.
 
Cheo chake ndio mambo ya manunuzi na tenda hafu mgodini manunuzi pesa ndefu ma crushers, milling machines au dumpers. Usikute chanzo ni pesa na deals.
Umewaza kama kama Mimi mkuu!!, wengi wanakimbilia kwenye usagaji but kwa cheo chake utakuta kamnyima mtu deal au kazulumu hela za deal na kazi hajatoa ,wahuni wameishi naye!!
 
Hakuna kitu kinaweza kufanywa na mwanamke kwa mwanamke mwenzie, mwanaume ashindwe kufanya.

Tena mwanaume ana ziada, ana dushe, ana physical muscles, ana nguvu za mwili na ana sauti ya kiume!
Sasa kama ndo hivyo mbona Kuna mwamba hapo deeppoud anasema mkeo au mpenzi wako akiingia mikononi mwa msagaji andika maumivu? Yaani anatekwa maxima ?
 
Swala la usagaji na ushoga ndivyo linavyotakiwa kumalizika hapa bongo tusionyeshe kupinga haki za binadamu lakini chini kwa chini wafyekelewe mbali washenzi kabisa demu kama huyo kapata kiburi kwaajili yapesa angekua choka mbaya angefanya huo ujinga? Na wenzake wanaingia mtegoni kwakua anawahonga aende salama na ujumbe uwafikie wenye tabia kama zake
Kwahiyo mnajitapa kuua watu?
 
Wahuni wanajifanya wanahukumu balaa.

Sasa huyu dada kawakosea nini? Mtu ana maisha yake, hali cha mtu, haibi cha mtu lakini unakuta kuna majitu yamemkamia yanataka kumtoa roho kisa tu anasagana!

Usagaji wake una athari gani?
Kuna wezi humu,Kuna wanaotembea na wake za humu,kuna wanaoingilia wanawake kinyume na maumbile humu,kuna waliouwa humu lakini leo ndio wanatoa hukumu kwa wengine
 
Kuna wezi humu,Kuna wanaotembea na wake za humu,kuna wanaoingilia wanawake kinyume na maumbile humu,kuna waliouwa humu lakini leo ndio wanatoa hukumu kwa wengine
Mhh, hawa binadamu wanatisha.

Na kuna mmoja humu ni ASKOFU WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA na yeye anashabikia mauaji [emoji50]
 
Back
Top Bottom