TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Kinachonishangaza Ni wanaokomet kwamba akishika mpenzi/mke wako hachomoki. Like how???. Hakuna namna mapenzi ya jinsia moja unaweza zidi mapenzi ya Me na Me Hakuna. Mungu Ni fundi .And God doesn't make mistakes. Asili Ni asili.hawa hawachomoki kwa vile ya pesa and not otherwise. Hata ushoga . people Wana exaggerate tu Mambo Ila inside their hearts wanaficha ukweli was Jambo. Ni pesa wanasaka.
 
Shindwaaaa wee.
Halafu unajua cocastic mi sikuchukii yaani nikionaga comment Yako huwa nafurahi sana vile unaweka vi emoj vyako vya kucheka[emoji1787]

Sema kuwa makini huko kitaa ishi maisha Yako kimya kimya.

Ukiwakera wananzengo shauri yako.

Hata humu member wakauvutia Kasi sana[emoji1][emoji1787]
 
Aise inabidi uende geita huko ukawatole makavu au unasemaje

Ova
Km ni mauaji hasa huko kanda ya ziwa sio jambo la kushangazaaa, yule dada wa Bank kutoka kahama alikufa kwao Kibaha tena kinyamaa zaidi, naye ni msagajii??

Huko Geita watu wanauana kila leo, watoto wachanga wanatupwa dampo, mara maiti zinafukuliwa. Sasa nn hiko? Khaaah.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani tufanye tuhame Bongo, tuwaachie wezi, wazinzi na majambazi nchi yao.

Maana wao ndo wana haki sanaaa. Uwiiiih.
 
Lipotezee tu kwakua hupendi soma magazeti[emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikasoma nikamalizaa.
Sema kuna jambo umenifunzaa,
Ubarikiwe sanaaa, [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Nimekubaliiii
 
[emoji28][emoji28]sijawahi kufirwa na sitarajii kabisa Sasa wewe si ndio unatetea hyo michezo mkienda kupimwa muhimbili mnalia.
Sifanyi jambo lolote kinyume Cha nature Mimi
Tutaamini vipi?? Labda tukupime......tuhakiki kwa vidole viwili...
 
Unataka ushahidi gani? Mbona video za kuchumbia wanawake wenzake zipo humu? Au hujui unaandika nini
 
Duh! ilikuwaje mkuu.........haya mambo yatakuwa yanaendeshwa na roho chafu nyuma yake. Yaani msagaji anakuwa na nguvu hadi kumnyang'anya demu mwanaume rijali?
Nyumisi

Kuna pisi nilikuwa natoka nayo, ikanitambulisha kwa rafiki yake ni tomboy lakini naye ni mrembo sana. Badae nikaja kugundua hiyo pisi imechumbiwa nikaona isiwe kesi tukasitisha mahusiano. Urafiki wangu na tomboy ukaimarika outings nyingi tu. Ikatokea siku moja tomboy akanicheki, niende kwao walikopanga kuna kazi anataka nimsaidie. Baada ya kufika nikakuta mademu wawili mmoja anavuta fegi mmoja kamlalia mwenzake kama mtu na mpenzi wake. Nikaona siyo issue nikaanza kumuelekeza tomboy kazi aliyotaka nimsaidie nilipomaliza akanisindikiza kwa kuwa nilimkuta amevaa pensi na vest siku hiyo ndiyo nikajua tomboy ni mrembo sema tu anajiweka kiugumu na pia katoka familia bora. Siku hiyo ikabidi nimle mate kwa kumshtukiza, kumbe bwana yule demu wa ndani niliyemkuta anavuta fegi anawasaga wote wawili kumbe jinsi tulivyokuwa close inamuuma kwa hiyo alichofanya kuna siku nilipiga simu kwa tomboy. Wakazinguana sana sasa yule demu mvuta fegi alichofanya ikabidi amtafute mchumba wa pisi yangu ya zamani kuwa bado natoka naye na isitoshe na kula rafiki yake pia. Kumbe mwanba ni mtu wa system, kuna siku moja usiku mnene nikiwa kiwanja nataka kuelekea parking sina hili wala lile nikawekwa mtu kati vipisi vya watu wawili, mchumba wa pisi yangu ya zamani na demu mvuta fegi kuwa nikae mbali na tomboy lakini kama najidai mbishiii niendelee.

Aiseeehh !! Nikabaki nawaza hili tukio linanihusu mimi au movie badae kwenye uchunguzi wangu nikagundua tomboy anasagwa na mvuta fegi ameshasaga mademu kibao. Nikabwaga, maisha yakaendelea.
 
Kila siku mie huwa nasema hapa, hili suala la wananchi kuchukua maamuzi hasi holela litakuja fika pabayaa, na watu sahiv washajua zigo linaangushwa mapenzi ya jinsia 1, wanajua hapo hakuna atae jaliii.

Watu watakuja kuelewa baadae sanaaa.
Ata yule jamaa alimwagiwa tindikali Arusha alikuja na kudai kisa chake ni kwamba alikataa kumpumulia lishoga limoja huko kitaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…