TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Uncouth...,so wicked.
Enewei mshahara wa dhambi ni mauti🤔
Asema BWANA.
 
DIVISHENI FOO

Tunaomba bonyeza report kwenye hiyo post yenye matusi, ifanyiwe kazi kwa haraka
Nimeshakujibu ila comment yangu imefutwa.

Naamini hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya huyu mtu anayejiita Mbina yaza

Pamoja na wengine wote ambao wametoa lugha za kuhamasisha MAUAJI na CHUKI dhidi ya watu wanaosemekana kuwa ni wapenzi wa jinsia moja.

Hakuna yeyote katika hii nchi anayeruhusiwa kutoa uhai wa mtu kwa minajili yoyote ile.

Chuki, uchochezi, mauaji, vyote havikubaliki kwa vyovyote vile. Ahsante.
 
Achana naye.Ni lesbian Huyu we hujawah kuona thread yake ana confess Yuko anatwanga na kukobia wanawake wenzake.Ingia kwenye thread zake uone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…