Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mtoto wa pili Kazaa na mzungu, 7 months kaenda for scissor. Hamna she male hapa.Wenyeji wa Mwanza na wanaomfahamu wanasema ana Watoto wawili!!! Sasa hizi habari za kuwa Shemale na uume mkubwa umezitoa wapi?
Dejane
Wanatuharibia jamii, Siku hizi kulea watoto wa kiume uwe na "juhudi kubwa" yani umchunge haswa.. maana hayo mafirauni yamejaa mitaaniH
Hebu fikiria mtu kidudu chake mwenyewe unaanza kumuua hizi nazo ni roho za kishetani!Kuna faida gani kuuchukia ushoga na usagaji na kuupenda uuaji?
Private sectors hasa za wazungu, mwajiriwa ukifanya gender declaration kwenye CV mchezo kwisha. They regard you as you wish, no problem.Kumbe kazini walimchukulia Kama mwanaume na sio mwanamke.
Hasa GGM wafuatiliwe kwa karibu wasije wakawa na agenda ya kutuletea uchafuGGM unyamwezi ni mwingi SA company hiyo sioni cha kushangaa hapo
Serikali haiwezi kuwafanya chochote hao unajua wanalipa kodi kiasi gani kwa mwaka?Hasa GGM wafuatiliwe kwa karibu wasije wakawa na agenda ya kutuletea uchafu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] boraa umwambie anadhani serikali haina kazi ya kufanya, ipo kumsikiliza yeye kila anachotakaa.Serikali haiwezi kuwafanya chochote hao unajua wanalipa kodi kiasi gani kwa mwaka?
OK,hao ndio waliomponza akajiamini hakujua yuko kwenye ardhi isiyotaka ushogaNi mwanamke sema wale wanaheshimu sexual orientation ya mtu. Si unajua South Africa ndoa za jinsia moja ni Kama tamaduni.
Basi ndio maana wananchi wammemfanya chochote huyu 'he' waoSerikali haiwezi kuwafanya chochote hao unajua wanalipa kodi kiasi gani kwa mwaka?
Acha ujinga alizaaje?,hujui kabla ya GGM alikuwa mke wa mtu,hujaona mwanae hapoKuna kitu naona watu hawaelewi, huyo inaonekana alikuwa na umbile la kike zikiwemo na matiti kabisa lakini chini hakuwa na uke bali alikuwa na uume, kwa kiingereza wanaitwa "Shemale."
Mtu wa hivyo uume wake unafanya kazi vizuri kabisa kama wa mwanaume yeyote yule na pia anaweza kabisa akampa mwanamke mwingine ujauzito.
Sasa kwa wasioelewa kwa kumuona umbile lake na sura yake wanamuona kama mwanamke na ndio maana walikuwa wanamchukulia kama msagaji kumbe sio, ana uume kabisa tena mkubwa tu. Jaribu kuangalia kwenye Google about the word (Shemale) ndio utakubaliana na mimi.
Mbona mashoga wapo kibao mtaani na hao malesbiani wapo kila kona. Kilicho muua huyu dada ni ukorofi na ubabe wake tu sio ulesbian. Alikuwa mbabe sana utamwambia nn pesa anayo. Ila angekuwa sio mkorofi asingekufaOK,hao ndio waliomponza akajiamini hakujua yuko kwenye ardhi isiyotaka ushoga
Mpaka sasa hakuna update yoyote kutoka kwa police?Huyo mtoto wa pili Kazaa na mzungu, 7 months kaenda for scissor. Hamna she male hapa.
May her soul find rest. She deserved a life.
Suspects bado wameshikiliwa. We give it a time.Mpaka sasa hakuna update yoyote kutoka kwa police?
Nonsense...umeropoka tuKuna kitu naona watu hawaelewi, huyo inaonekana alikuwa na umbile la kike zikiwemo na matiti kabisa lakini chini hakuwa na uke bali alikuwa na uume, kwa kiingereza wanaitwa "Shemale."
Mtu wa hivyo uume wake unafanya kazi vizuri kabisa kama wa mwanaume yeyote yule na pia anaweza kabisa akampa mwanamke mwingine ujauzito.
Sasa kwa wasioelewa kwa kumuona umbile lake na sura yake wanamuona kama mwanamke na ndio maana walikuwa wanamchukulia kama msagaji kumbe sio, ana uume kabisa tena mkubwa tu. Jaribu kuangalia kwenye Google about the word (Shemale) ndio utakubaliana na mimi.
Lazima wangelipishwa fine..wataalamu wakawashtua nchi hii ipo kwenye vita thus wakafanya rectification ya death announcement from He to She.Serikali haiwezi kuwafanya chochote hao unajua wanalipa kodi kiasi gani kwa mwaka?
Kumbe alishafikia kiwango hiki.Hela zote hzo kumbe alikuwa anazitoa huku?Afadhari apumzike Kwa style hyo.
HahahaHicho kiingereza chenyewe sasa, we have a light!
Eti anahofia maisha yake [emoji23]Huyu anatafuta tu apate makaratasi huko
Ova
Hapa umebugi big time mkuu.Kwanza inawasaidia wasipatwe maradhi
Ma vibrator na dildo au ulimi na vidole haviwez kuambukiza maradhi zaid ya uume mchafu au unaotumika vibayaHapa umebugi big time mkuu.
Usagaji unaambukiza magonjwa kama kawaida.