TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

DIVISHENI FOO

Tunaomba bonyeza report kwenye hiyo post yenye matusi, ifanyiwe kazi kwa haraka
Moderator mie nna ombi kwako, kuna watu wana matusi sana humu ndani, hasa likija suala la kuhusu mapenzi ya jinsia 1,

Unakuta mtu kaleta post, yaan mie nikichangia tyuuh hata km nitatoa comments ya staha na haina ubaya, watu watanishukia km mwewee hapo na kuanza kunikejeli na kunitukana matusi yote, sio kwamba siwezi kuwajibu Ila naepuka Ban, hadi huwaa najiuliza kwann sasa wanaleta hizo post? Tusijadili?

Hawa watu muwaangalie kwa umakini, wanafanya km hii JF ni ya kwao, mie sio mpenzi sana wa ku report sababu najua naweza battle nao na ninawashinda, ila tangu nipewe onyo nimeamua kuwa mpoleee. Ila inaumiza kuona unasakamwaa afu wao hawafanywi chochote.

Sometimes nitashindwa kuvumilia ntaamua ni battle mwsho nipewe ban, ila naogopaa. Naomba muwa angalie kwa umakini hawa watu.

Samahani lakini km nimekosea, nimeona nilete kero yangu kwako, [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Tunashauri utumie option ya ku report unapokutana na changamoto hizo.

Reported Posts zote zinafanyiwa kazi
 
Kuna kitu naona watu hawaelewi, huyo inaonekana alikuwa na umbile la kike zikiwemo na matiti kabisa lakini chini hakuwa na uke bali alikuwa na uume, kwa kiingereza wanaitwa "Shemale."

Mtu wa hivyo uume wake unafanya kazi vizuri kabisa kama wa mwanaume yeyote yule na pia anaweza kabisa akampa mwanamke mwingine ujauzito.

Sasa kwa wasioelewa kwa kumuona umbile lake na sura yake wanamuona kama mwanamke na ndio maana walikuwa wanamchukulia kama msagaji kumbe sio, ana uume kabisa tena mkubwa tu. Jaribu kuangalia kwenye Google about the word (Shemale) ndio utakubaliana na mimi.
 
Wenyeji wa Mwanza na wanaomfahamu wanasema ana Watoto wawili!!! Sasa hizi habari za kuwa Shemale na uume mkubwa umezitoa wapi?

Dejane
 
Kuna kitu naona watu hawaelewi, huyo inaonekana alikuwa na umbile la kike zikiwemo na matiti kabisa lakini chini hakuwa na uke bali alikuwa na uume, kwa kiingereza wanaitwa "Shemale."

Mtu wa hivyo uume wake unafanya kazi vizuri kabisa kama wa mwanaume yeyote yule na pia anaweza kabisa akampa mwanamke mwingine ujauzito.

Sasa kwa wasioelewa kwa kumuona umbile lake na sura yake wanamuona kama mwanamke na ndio maana walikuwa wanamchukulia kama msagaji kumbe sio, ana uume kabisa tena mkubwa tu. Jaribu kuangalia kwenye Google about the word (Shemale) ndio utakubaliana na mimi.

Si kweli ,mzazi aliyemlea aliemueleza vizuri ,ameacha mtoto mmoja na aliolewa kabisa na mwanamme ila wakashindwana.
 
Kuna kitu naona watu hawaelewi, huyo inaonekana alikuwa na umbile la kike zikiwemo na matiti kabisa lakini chini hakuwa na uke bali alikuwa na uume, kwa kiingereza wanaitwa "Shemale."

Mtu wa hivyo uume wake unafanya kazi vizuri kabisa kama wa mwanaume yeyote yule na pia anaweza kabisa akampa mwanamke mwingine ujauzito.

Sasa kwa wasioelewa kwa kumuona umbile lake na sura yake wanamuona kama mwanamke na ndio maana walikuwa wanamchukulia kama msagaji kumbe sio, ana uume kabisa tena mkubwa tu. Jaribu kuangalia kwenye Google about the word (Shemale) ndio utakubaliana na mimi.
Duh, sasa nani anaweza kuliprove hili, labda wazazi waliomzaa au watu wa karibu sana naye.....
 
Nimeshakujibu ila comment yangu imefutwa.

Naamini hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya huyu mtu anayejiita Mbina yaza

Pamoja na wengine wote ambao wametoa lugha za kuhamasisha MAUAJI na CHUKI dhidi ya watu wanaosemekana kuwa ni wapenzi wa jinsia moja.

Hakuna yeyote katika hii nchi anayeruhusiwa kutoa uhai wa mtu kwa minajili yoyote ile.

Chuki, uchochezi, mauaji, vyote havikubaliki kwa vyovyote vile. Ahsante.

Mkuu na wewe huwa unaandika MATUSI sana mtu ukipishana naye hoja ,jaribu kujibu hoja na si matusi ,watu wangekua na akili kama zako za kureport kila siku ungekuwa unapigwa BAN.
 
Kuna kitu naona watu hawaelewi, huyo inaonekana alikuwa na umbile la kike zikiwemo na matiti kabisa lakini chini hakuwa na uke bali alikuwa na uume, kwa kiingereza wanaitwa "Shemale."

Mtu wa hivyo uume wake unafanya kazi vizuri kabisa kama wa mwanaume yeyote yule na pia anaweza kabisa akampa mwanamke mwingine ujauzito.

Sasa kwa wasioelewa kwa kumuona umbile lake na sura yake wanamuona kama mwanamke na ndio maana walikuwa wanamchukulia kama msagaji kumbe sio, ana uume kabisa tena mkubwa tu. Jaribu kuangalia kwenye Google about the word (Shemale) ndio utakubaliana na mimi.
Mzee umeambiwa ameacha watoto na alijifungua miezi michache iliyopita. Uwe unajitahidi kusoma comments kabla haujacomment.
 
Watu kwa maneno hawajambo [emoji23][emoji23][emoji23] kaacha mtoto ana miezi nane au saba na ana mtoto mkubwa nimerusha picha
Hakuwa shemale
Nimechekaa mnooo, eti anasema huyo ana uume tena mkubwa tyuuh na unafanya kazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan watu khaaah
 
Back
Top Bottom