TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

H
Hebu fikiria mtu kidudu chake mwenyewe unaanza kumuua hizi nazo ni roho za kishetani!Kuna faida gani kuuchukia ushoga na usagaji na kuupenda uuaji?
Wanatuharibia jamii, Siku hizi kulea watoto wa kiume uwe na "juhudi kubwa" yani umchunge haswa.. maana hayo mafirauni yamejaa mitaani
 
Serikali haiwezi kuwafanya chochote hao unajua wanalipa kodi kiasi gani kwa mwaka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] boraa umwambie anadhani serikali haina kazi ya kufanya, ipo kumsikiliza yeye kila anachotakaa.
 
Acha ujinga alizaaje?,hujui kabla ya GGM alikuwa mke wa mtu,hujaona mwanae hapo

USSR
 
OK,hao ndio waliomponza akajiamini hakujua yuko kwenye ardhi isiyotaka ushoga
Mbona mashoga wapo kibao mtaani na hao malesbiani wapo kila kona. Kilicho muua huyu dada ni ukorofi na ubabe wake tu sio ulesbian. Alikuwa mbabe sana utamwambia nn pesa anayo. Ila angekuwa sio mkorofi asingekufa
 
Nonsense...umeropoka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali haiwezi kuwafanya chochote hao unajua wanalipa kodi kiasi gani kwa mwaka?
Lazima wangelipishwa fine..wataalamu wakawashtua nchi hii ipo kwenye vita thus wakafanya rectification ya death announcement from He to She.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…