TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Ma vibrator na dildo au ulimi na vidole haviwez kuambukiza maradhi zaid ya uume mchafu au unaotumika vibaya
Kafanye tena utafiti juu ya hilo.
Nashindwa kuandika mengi kuelezea wana ambukizana vipi na magonjwa gani sababu ya utamaduni wetu, naona maneno yatakuwa makali.
 
Sasa wewe jinsia yako tata kwanini watu wasikushambulie?.
 
Huyu alikuwa mwanamke na ana mtoto mkubwa na aliolewa angekuwa mwanaume asingebeba mimba
 
Sasa mbona inaonekana hakuwa msagaji.

Akimzungumzia marehemu, Paulina alisema ni mtoto wa nne kuzaliwa kati ya watano wa familia na ameacha mtoto mmoja.
Alisema awali alikuwa akiishi naye hadi mwaka 2003 alipoanza kujitegemea na baadaye kujenga nyumba yake maeneo ya Nyamalembo.

“Aliolewa na baba mmoja wa Kinyarwanda, lakini kutokana na vipigo waliachana, baadaye aliolewa na mwanamume mwingine akazaa naye mtoto mmoja ambaye anasoma kidato cha tano, lakini waliachana (na mumewe) na yeye akaendelea na maisha yake,” alisimulia Paulina.

Alisema mdogo wake huyo alikuwa mtu anayesaidia familia yao na watu wengine bila shida na kifo chake kimeacha pengo kubwa kwao.

Zaidi: Mwili wa Milembe wa GGM kuzikwa leo
 
Acha uongo wewe

 
Amesema Milembe aliolewa na kubahatika kupata mtoto mmoja wa kike lakini baadaye alitengana na mumewake.

inatoka:
 
Uhai wa mtu ni kitu cha dhamani , sasa hii hali ya kujichukulia Sheria mkononi wakati mahakama zipo na sheria za nchi zipo ni Hatari sana itazidi kuleta maumivu kwa jamii.

hapa sio Pakistani au Iran au wapi. Ni sawa tabia aliyotenda sio maadili mazuri lakini waliomuua wametenda mbaya zaidi yake marehemu.

Pengine angekuwa hai akahojiwa angeleta majibu mazuri ya kumsaidia na jamii inayomzunguka ya nini chanzo cha kufanya haya mambo na suluhisho.

Huyo aliyeuwawa ameletewa maumivu makali na familia yake imeumia.
Ndio alifanya kosa lakini hakustahili kuuwawa na binadamu halafu mbona kuna waliotenda makosa makubwa zaidi yake lakini bado wapo hai sababu sheria inafuata mkondo wake.

Halafu kanda ya ziwa Matukio ya kujichukulia sheria mkononi yamezidi sana .
 
Huyo dada ni mwanamke kamili kabisa na alishaolewa mara mbili. Mume wake wa kwanza alikuwa mnyarwanda waliachana na mume wa pili alizaa nae mtoto mmoja ambaye kwa sasa yuko form six
 
Si kweli ,mzazi aliyemlea aliemueleza vizuri ,ameacha mtoto mmoja na aliolewa kabisa na mwanamme ila wakashindwana.
Alifunga ndoa kwa Shehe au Mchangaji yupi? Kama ni ndoa ya kiserikali Wilaya ipi? Lini? Mume wake anaitwa nani? Siku ya kutoa mahari nani alikuwepo?
Post picha akiwa na ujauzito, akiwa cliniki, akivaa deraa. Hospital/kituo cha afya ipi alienda kujifungua?

Huyu ni mwanaume mwenye genes za kike ( matiti), atakuwa na tango la kutosha kabisa!
Angalia vizuri mrembo aliyevishwa pete, alivyorembua baada ya kupata bussu la Mume wake.
Ova!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…