TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Kwaiyo matajiri hawwchukii LGBTQ sio
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Asante lkn kwa ushauri murua kabisa ubarikiwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwezi ukakuta tajiri anatumia muda wake kutukana, kubully na kuhamasisha mauaji kwenye mitandao juu ya wapenzi wa jinsia moja,

Tajiri anajali muda wake kidogo aupatao ku socialize kwenye vitu positive.
 
Kama kauawa kweli basi itakua ni ishu nyingine nje ya huo usagaji,, sioni ni namna gani mtu atachukua hatua za namna hiyo kwa lesbo,, kwa kipi hasa yani,, tena kwa Geita,, hapana
Nasikia alikuwa anafanya madili na wanaume. Labda amedhulimiana na wanaume wenzie
 
Ongezaa sautiii dear, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajuaga kunikomesheaaaa.
 
Marehemu kaacha wake wengi tutegemee mengi siku ya mazishi wake zake watalia na kusaga meno ahaaaaa kapata adhabu sahihi...
Msiue Kisa mmeshindwa ligi huo sio uanaume mi nijike baba yangu aliniambia olewa na mume mwenye sifa hizi, kisakashindwa jambo hakimbilii kuua, au kufanya unyama ni kutatua jambo liwe fresh, jingine mwanaume mwenye kujiamini, kujipenda, kukujali, maana ndio atakujali, mwenye kuchapa kazi, mwenye pesa ,so kuuasio solution soon atatokea milembe mwingine na amejipanga kiulinzi, mumemuua mtu kosa hamuwezi mapigo Sio kifedha au nini
 
Punguza hasira nani kamkata mapanga? Mimi ni mwanamke napinga kabisa usagaji na ushoga. Hatutaki kizazi kijacho kikute mizizi ya ushoga na usagaji.

Milembe alikuwa na binti mkubwa tu embu jiulize alipokuwa akisikia mama yake kaoa alijisikiaje huko shule? Video za milembe za kuoa ziko mitandani watoto siku hizi wanaingia mitandaoni wanaziona unadhani hayo ni malezi?
Staki kujua kafa kwa sababu ipi tunalokemea hapa ni tabia zake za kuoa wanawake wenzake.

Biblia na vitabu vya dini vyote ndoa ni ya mwanaume na mwanamke sio kwa jinsia moja.
Case closed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…