TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Hivi polisi hawajawakamata hawa watu waliomuuwa huyu afisa ugavi aaah polisi acheni unafiki wenu jamani.
 
Hivi polisi hawajawakamata hawa watu waliomuuwa huyu afisa ugavi aaah polisi acheni unafiki wenu jamani.
Polisi wenyewe wanahusika na haya mauaji kwa kifupi viongozi wote wa geita wanahusika sababu kemilembe alikuwa anajua mpango wote na alikataa kuwa sehem ya mgao, alichotaka yeye ni kuona maendeleo ya mji wa geita
 
Acha ujinga ndio CCM imue kikatili hvyo

Kwanza yeye Ana usika VIP na Mambo ya CRS

Yule atakuwa ameingia anga ya mtu kumsaga demu wake jamaaa akaona wacha nimtangulize kwa sir god mapema
 
Huyu ndiyo walimua na kuondoka na mkono wake

Ova
 
Acha ujinga ndio CCM imue kikatili hvyo

Kwanza yeye Ana usika VIP na Mambo ya CRS

Yule atakuwa ameingia anga ya mtu kumsaga demu wake jamaaa akaona wacha nimtangulize kwa sir god mapema
Hukijui chama changu CCM vizuri we jamaa!!

Amina chifupa Yuko wapi!?

Ukiwa mkweli kuliko hiki chama unachungulia kaburi!!

Deo filiku njombe yuko wapi!!?

Mpina ajichunge sana!!
 
Ila waTz hizi tabia za kuua uana mmerithi wapi hizi roho? Mtu anaweza kuja kukuua kwa mambo yake personal akakusingizia ushonga/usagaji. Shauri yenu mkijihisi mko salama.

Washakula kitanzi huko...
Mihemko ishaisha Sasa ni mwendo wa majuto tu.
 
Kupenda vitu vya bure hatari sana. Sasa amehukumiwa kukaa jela maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…